yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,668
- 1,017
Wimbi la wasanii wetu ku-shoot video nje ya nchi (S.A) linaongezeka kwa kasi sana toka Diamond afungue njia na wimbo wa Number 1
Ndani ya mwezi mmoja nimeshuhudia video zaidi ya kumi kwenye runinga na nyingine zaidi ya hizo zikiwa mbioni kutoka ikiwamo ya mwana'd.
Shime kwao na wasiishie tu kutoa video bora bali wajitahidi na maudhui yawe mazuri katika nyimbo zao.