ina maana kabla yake hakukuwa na video nyingine iliyofanyika nje? au mimi ndo sijaelewa mkuu
ina maana kabla yake hakukuwa na video nyingine iliyofanyika nje? au mimi ndo sijaelewa mkuu
Aliyeanza kufanya Video nje ya nchi na hasa South Africa ni AY unaikumbuka ile nyimbo ya Party Zone?? Hivi hiyo na Number one imetangulia kutoka? Mr Blue pia alishawahi kufanyia Video S.A kitambo Ray C alishawahi kufanya Video China kitambo sana kabla hata diamond hajatoa Kamwambie Mac Mugan ya Ally Kiba kama sikosei nayo imefanyiwa nje ya nchi nadhani ni nyimbo nyingi video zake zimefanyika nje ya nchi kabla ya hiyo no1 AY nadhani ana video zaidi ya 3
wengi walishashoot video nje ila tu ni kwamba video za diamond ndio zimechochea wasanii wengi kuanza kushoot video nje mana kupitia diamond wamejionea wenyewe kwamba video za nje si mchezo ukijipanga , by the way hao wote uliowataja walishut nje ila video zao bado hazikuhamasisha wasanii kushut nje
Nyimbo za AY ndio zilizomfanya pengine hata diamond afikirie kushoot video nje ya nchi we huchelewi kusema diamond ndio kafungua njia wanamziki wa Kitanzania kufanya kolabo na wasanii wa nje (Nigeria)
nyimbo ya ay party zone haikubamba mkuu nyimbo za huyu jamaa.kama number one ile shooting ni next level kitu kilichofanya wasanii wa tz kuvutiwa kwenda kushut video nje ,vitu vingine havina haja ya ubishi
Aliyeanza kufanya Video nje ya nchi na hasa South Africa ni AY unaikumbuka ile nyimbo ya Party Zone?? Hivi hiyo na Number one imetangulia kutoka? Mr Blue pia alishawahi kufanyia Video S.A kitambo Ray C alishawahi kufanya Video China kitambo sana kabla hata diamond hajatoa Kamwambie Mac Mugan ya Ally Kiba kama sikosei nayo imefanyiwa nje ya nchi nadhani ni nyimbo nyingi video zake zimefanyika nje ya nchi kabla ya hiyo no1 AY nadhani ana video zaidi ya 3
Mkuu wewe sema Una mahaba tu na diamond unasemaje Diamond ndio kawavutia wakati hata kabla yake kuna watu walishafanya video nje ya nchi hao nao nani aliwavutia
mtoa mada acha kulazimisha watu kumtaja dimond cjui...!
sema wewe huujui mziki bwana
wangeshoot vp na walikuwa hawaujui mziki, ina maana mafanikio ya kina AY yametoka na nyimbo za dimond...!
dimond my foot...!
Waswahili tukipata ------ hulia mbwata,mleta mada amesahau kuna mtu anaitwa AY.
walitoa zikaenda wapi, hapa tunaongelea video iliyotikisa dunia my no one na ndio maana kumbukumbu zetu zinaanzia hapo .