Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Mkuu wewe sema Una mahaba tu na diamond unasemaje Diamond ndio kawavutia wakati hata kabla yake kuna watu walishafanya video nje ya nchi hao nao nani aliwavutia
ni kweli wapo waliofanya kabla yake lakini hazikuhamasisha hataaa, ndio maana hatukumbuki
walitoa zikaenda wapi, hapa tunaongelea video iliyotikisa dunia my no one na ndio maana kumbukumbu zetu zinaanzia hapo .
dunia gani???
ya jupita
ya jupita
Aliyeanza kufanya Video nje ya nchi na hasa South Africa ni AY unaikumbuka ile nyimbo ya Party Zone?? Hivi hiyo na Number one imetangulia kutoka? Mr Blue pia alishawahi kufanyia Video S.A kitambo Ray C alishawahi kufanya Video China kitambo sana kabla hata diamond hajatoa Kamwambie Mac Mugan ya Ally Kiba kama sikosei nayo imefanyiwa nje ya nchi nadhani ni nyimbo nyingi video zake zimefanyika nje ya nchi kabla ya hiyo no1 AY nadhani ana video zaidi ya 3
Naamin hata remix ya Klyn na JMo ya Nikipata wangu ilifanyika nje!
Hii dunia inaitwa jupita ipo pande zipi na mimi nataka nitimbe huko kwa heshima.