Diamond ameonesha njia

Diamond ameonesha njia

Mkuu wewe sema Una mahaba tu na diamond unasemaje Diamond ndio kawavutia wakati hata kabla yake kuna watu walishafanya video nje ya nchi hao nao nani aliwavutia

hvy mkuu awali umeweka video ya mac muga kwenye mfano wa video za sauz naona hata hujui tunachodiscuss. hapa tunazungumzia video zenye viwango vya juu zinazopenya na kutangaza wasanii had nje ya mipaka, dem wako alisuka twende kilioni juzi s.africa wangu kaset nywele s.africa nani atapendeza?
 
Panapotajwa Daimond lazima povu watu liwatoke lakini aminiaa mnakubali kimoyo moyoo
 
Aliyeanza kufanya Video nje ya nchi na hasa South Africa ni AY unaikumbuka ile nyimbo ya Party Zone?? Hivi hiyo na Number one imetangulia kutoka? Mr Blue pia alishawahi kufanyia Video S.A kitambo Ray C alishawahi kufanya Video China kitambo sana kabla hata diamond hajatoa Kamwambie Mac Mugan ya Ally Kiba kama sikosei nayo imefanyiwa nje ya nchi nadhani ni nyimbo nyingi video zake zimefanyika nje ya nchi kabla ya hiyo no1 AY nadhani ana video zaidi ya 3

Naamin hata remix ya Klyn na JMo ya Nikipata wangu ilifanyika nje!
 
Last edited by a moderator:
Eiwai alifanya wapi Ile sijui nini...zone?

Sugu alishafanyaga shooting marekani lakini haikuwai si kupigwa tu bali hata kuwa nominated kwenye tuzo yoyote ile nje na ndani ya bongo

The platnum ameonyesha njia
 
Back
Top Bottom