Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam!
Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!
Diamond amekuwa dictator mwingine ndani ya Tasnia ya muziki. Diamond amekuwa akilia na wamiliki wa radio kutopiga nyimbo zake na wasanii wake lakini sasa amepata radio yake anafanya yale aliyokukuwa anayapinga!
Nini kimpata Diamond? Kuna wasanii wengi nyimbo zao hazipigwi Wasafi lakini Harmonize ni mfano wetu wa Leo!
Diamond bado anayo shida na Harmonize na hataki kukubali kijana aliamua kusonga mbele na kujitegemea kama yeye alivyo amua kutoka kwenye mikono ya Clouds Fm
Diamond alipaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kuhakisha kila wimbo unapigwa kwenye radio yake....
Pamoja na Diamond kupost album ya Harmonize instagram akionesha kusupport lakini haileti maana kama Wasafi Fm hawachezi hata wimbo mmoja wa Harmonize....
Lazima watu watambua kuwa Nasema ni wasafi Fm kwakuwa radio ina nguvu kuliko tv hivyo platfomu muhimu kwa wanamuziki ni radio na tangu Harmonize aachane na lebo ya Wasafi ,Wasafi Fm waliacha kucheza nyimbo zake......
Ni wazi madj na watangazaji hawawezi kufanya jambo bila maelekezo ya mabosi wao....
Tumeona tuyaseme haya hili Diamond kama msanii ajirekebishe na asifanye yale ambayo alikuwa ana yakataa kwa wamiliki wengine wa radio
Wasalaam!
Sent from my iPhone using Tapatalk