Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Diamond hajapiga marufuku nyimbo ya msanii yoyote kuchezwa Wasafi Fm acha kupotosha. Harmonize ndio hataki nyimbo zake zichezwe Wasafi media wala hataki any interview na Wasafi. Tangu atoke Wasafi hajawai peleka nyimbo yake ipigwe pale Wasafi ndio maana unaona nyimbo za nyuma zipo zinapigwa sana tu.

Kuna wasanii wanataka kuitia ubaya Wasafi media so wanazuia kiaina content zao ziende pale mwingine ni Kiba, sema kwa Kiba Wasafi wameamua kufosi tu ili kuondoa picha ya ubaya.
Alikiba huwa anapeleka mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond platinumz hakulalamika Bali alisema yeye ni kama maji hata wasipopiga nyimbo zake watacheza hata matangazo yake kama Pepsi, pari match nk.
Na hakuishia hapo akafungua na media yake,
So na uyo konde kama cloudsfmtz na E-fm hawamtoshi basi na yeye afungue CHITOHOLI FM REDIO apigage hizo bedroom mix na za ibraa tz.

Maisha Hayahitaji complications sana,kukizibwa huku basi unaangalia upande mwingine.
Mtoa mada kaingia choo Cha kike diamond hajawahi kulalamika kutopigwa ngoma zake Bali alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio hawapigi nyimbo zake.
 
Mkuu, uliandika ukiwa usingizini? Maana title na content vinatofautiana, mimi nilitegemea kuona ushahidi kudhibitisha ulichokiandika kwenye title yako.
 
Ndo kina hao mnawazungumzia hapa sijawahi kuwaona msondo ngoma wala vijana jazz,,?
 
Alaf kuna mtu anakuja aseme mawingu Ndo wanapenda bifu na kina jeje

god is good
 
Na Sku izi Namsikia Komando J kwa Mawingu tena Karudi kwa Kasi ya Corona
 
Diamond hajapiga marufuku nyimbo ya msanii yoyote kuchezwa Wasafi Fm acha kupotosha. Harmonize ndio hataki nyimbo zake zichezwe Wasafi media wala hataki any interview na Wasafi. Tangu atoke Wasafi hajawai peleka nyimbo yake ipigwe pale Wasafi ndio maana unaona nyimbo za nyuma zipo zinapigwa sana tu.

Kuna wasanii wanataka kuitia ubaya Wasafi media so wanazuia kiaina content zao ziende pale mwingine ni Kiba, sema kwa Kiba Wasafi wameamua kufosi tu ili kuondoa picha ya ubaya.
Kwani nyimbo huwa zinapelekwa uko ??? Hahahahahaha hahahaha na zile za eminem na jay z huwa wanawapelekea wasafi ili wazipige hahahahahaha hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruttashobolwa ni mshabiki kindaki ndaki,mkereketwa au mfia leble wa msanii diamond platnumz pamoja na WCB,naomba tuzingatie hili kwanza.

hiki alichokiandika ana uhakika nacho kwa asilimia fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom