Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Mwezi huu nimeiona kushoto kulia na uno huwaga naionaga mara nyingi.
 
Waliokuwa wanamponda Ruge ndio wamekuwa watetezi wa Diamond ila tukumbuke hizi ni karma tu kabla hujamuhukumu mtu jiwazie ww kwanza je hutakuja kufanya kama huyo.
 
Wasalaam!

Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!

Diamond amekuwa dictator mwingine ndani ya Tasnia ya muziki. Diamond amekuwa akilia na wamiliki wa radio kutopiga nyimbo zake na wasanii wake lakini sasa amepata radio yake anafanya yale aliyokukuwa anayapinga!

Nini kimpata Diamond? Kuna wasanii wengi nyimbo zao hazipigwi Wasafi lakini Harmonize ni mfano wetu wa Leo!

Wasalaam!

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahahaa sasa alivyokuwa analalamika kwa East Africa radio hawapigi nyimbo zake,mbona na yeye hawapigi nyimbo za Hamo Wasafi?
 
Waliokuwa wanamponda Ruge ndio wamekuwa watetezi wa Diamond ila tukumbuke hizi ni karma tu kabla hujamuhukumu mtu jiwazie ww kwanza je hutakuja kufanya kama huyo.
Wewe umeongea bila kufanya research ngoma zake zinapigwa Ila sio Sana Jana tu kwenye kipindi cha shootout Cha wasafi tv ngoma yake ya uno imepigwa.
 
Hahahaa sasa alivyokuwa analalamika kwa East Africa radio hawapigi nyimbo zake,mbona na yeye hawapigi nyimbo za Hamo Wasafi?
We unaangaliaga wasafi kwanza kabla ya yote? Na lini umewahi kumuona diamond analalamika ngoma zake hazipigwi East Africa radio tupo huo ushahidi
 
mkuu nimekuomba wewe coz mimi niko Chato huku wasafi bado haijafika.

Mimi ni shabiki wa Diamond lakini ukweli ni kwamba Diamond amekuwa Dictator wala hapigi nyimbo za Harmo ....na yeye amekuwa kama wale alio kuwa ana walalamikia.... Wanasingizia oooh kakataza zisipigwe mara oooh hapeleki ....waulize Alikiba kapeleka lini nyimbo zake Wasafi mbona wanpiga?

Na hapa nazungumzia Wasafi Fm

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
We unaangaliaga wasafi kwanza kabla ya yote? Na lini umewahi kumuona diamond analalamika ngoma zake hazipigwi East Africa radio tupo huo ushahidi

Diamond kupitia mameneja wake amesha lalamika sana kuhusu hilo na akasema wanaonewa! Sasa na yeye anafanya yale yale!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ngoma zinapigwa vizuri ila sio Sana kuna kipindi kipo wasafi tv Cha kurequest ngoma yoyote mtaani Kuna mdau kachagua ngoma ya harmonize uno ikapigwa vizuri tu.

Wasafi Tv ni muda kidogo lakini wasafi Fm toka Harmonize kaondoka kwenye lebo waliacha kupiga nyimbo zake.....Lini umesikia wimbo wa Harmonize wasafi hasa hizi za kwenye Album

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wasalaam!

Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!

Diamond amekuwa dictator mwingine ndani ya Tasnia ya muziki. Diamond amekuwa akilia na wamiliki wa radio kutopiga nyimbo zake na wasanii wake lakini sasa amepata radio yake anafanya yale aliyokukuwa anayapinga!

Nini kimpata Diamond? Kuna wasanii wengi nyimbo zao hazipigwi Wasafi lakini Harmonize ni mfano wetu wa Leo!

Wasalaam!

Sent from my iPhone using Tapatalk

Kila kitu kina wakati wake, kwa sasa Diamond akalie kutangaza na kupromote nyimbo zake tu....kimuziki hana issue tena, kapitwa na watu wengi sana watoto.
 
Tuoneshe wapi diamond alisema marufuku kupiga ngoma za Harmonize? Na kingine nikusahihishe diamond hajawahi kulalamika ngoma zake hazichezwi ila alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio azipigi nyimbo zake baada ya mjadala wa ngoma zake kutokupigwa kuwa mkubwa.Kiufupi mzee ukujipanga kuleta mada yako hii

Ni lini umesikia nyimbo za Harmonize wasafi? Kwani Clouds walivyo acha kupiga nyimbo za Diamond walitoa tangazo? Kuhusu kulalamika Diamond alilalamika sana kupitia mameneja wake ... kwa hiyo anafanya yale ambayo alikuwa ana walalamikia wenzie

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom