Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ote ndio nini?Ote mashetani tu clouds wasafi ote mapunga ...wasafi wamelia sana na clouds kumbe wao ni wabaya kuliko ata ao clouds ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ote ndio nini?Ote mashetani tu clouds wasafi ote mapunga ...wasafi wamelia sana na clouds kumbe wao ni wabaya kuliko ata ao clouds ...
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahMtoa mada kaingia choo Cha kike diamond hajawahi kulalamika kutopigwa ngoma zake Bali alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio hawapigi nyimbo zake.
Ngoma zinapigwa vizuri ila sio Sana kuna kipindi kipo wasafi tv Cha kurequest ngoma yoyote mtaani Kuna mdau kachagua ngoma ya harmonize uno ikapigwa vizuri tu.Kwanini hazipigwi sasa
hebu request nyimbo ya Mama by Harmonize tuone kama itapigwa.Ngoma zinapigwa vizuri ila sio Sana kuna kipindi kipo wasafi tv Cha kurequest ngoma yoyote mtaani Kuna mdau kachagua ngoma ya harmonize uno ikapigwa vizuri tu.
Wewe request Kama hawajapiga nipe mrejeshohebu request nyimbo ya Mama by Harmonize tuone kama itapigwa.
mkuu nimekuomba wewe coz mimi niko Chato huku wasafi bado haijafika.Wewe request Kama hawajapiga nipe mrejesho
Hahahaa sasa alivyokuwa analalamika kwa East Africa radio hawapigi nyimbo zake,mbona na yeye hawapigi nyimbo za Hamo Wasafi?Wasalaam!
Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!
Diamond amekuwa dictator mwingine ndani ya Tasnia ya muziki. Diamond amekuwa akilia na wamiliki wa radio kutopiga nyimbo zake na wasanii wake lakini sasa amepata radio yake anafanya yale aliyokukuwa anayapinga!
Nini kimpata Diamond? Kuna wasanii wengi nyimbo zao hazipigwi Wasafi lakini Harmonize ni mfano wetu wa Leo!
Wasalaam!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wewe umeongea bila kufanya research ngoma zake zinapigwa Ila sio Sana Jana tu kwenye kipindi cha shootout Cha wasafi tv ngoma yake ya uno imepigwa.Waliokuwa wanamponda Ruge ndio wamekuwa watetezi wa Diamond ila tukumbuke hizi ni karma tu kabla hujamuhukumu mtu jiwazie ww kwanza je hutakuja kufanya kama huyo.
We unaangaliaga wasafi kwanza kabla ya yote? Na lini umewahi kumuona diamond analalamika ngoma zake hazipigwi East Africa radio tupo huo ushahidiHahahaa sasa alivyokuwa analalamika kwa East Africa radio hawapigi nyimbo zake,mbona na yeye hawapigi nyimbo za Hamo Wasafi?
Siangalii maana siwezi kutoa buku kulipia Wasafi wakati nalipa kifurushi cha elf 28 Azam nilitarajia nitapata channels zote.We unaangaliaga wasafi kwanza kabla ya yote?
mkuu nimekuomba wewe coz mimi niko Chato huku wasafi bado haijafika.
We unaangaliaga wasafi kwanza kabla ya yote? Na lini umewahi kumuona diamond analalamika ngoma zake hazipigwi East Africa radio tupo huo ushahidi
Ngoma zinapigwa vizuri ila sio Sana kuna kipindi kipo wasafi tv Cha kurequest ngoma yoyote mtaani Kuna mdau kachagua ngoma ya harmonize uno ikapigwa vizuri tu.
Wasalaam!
Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!
Diamond amekuwa dictator mwingine ndani ya Tasnia ya muziki. Diamond amekuwa akilia na wamiliki wa radio kutopiga nyimbo zake na wasanii wake lakini sasa amepata radio yake anafanya yale aliyokukuwa anayapinga!
Nini kimpata Diamond? Kuna wasanii wengi nyimbo zao hazipigwi Wasafi lakini Harmonize ni mfano wetu wa Leo!
Wasalaam!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kama uangalii kwanini unasema ngoma za Harmonize hazipigwi?Siangalii maana siwezi kutoa buku kulipia Wasafi wakati nalipa kifurushi cha elf 28 Azam nilitarajia nitapata channels zote.
Tuoneshe wapi diamond alisema marufuku kupiga ngoma za Harmonize? Na kingine nikusahihishe diamond hajawahi kulalamika ngoma zake hazichezwi ila alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio azipigi nyimbo zake baada ya mjadala wa ngoma zake kutokupigwa kuwa mkubwa.Kiufupi mzee ukujipanga kuleta mada yako hii