Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
Alikiba huwa anapeleka mkuu?Diamond hajapiga marufuku nyimbo ya msanii yoyote kuchezwa Wasafi Fm acha kupotosha. Harmonize ndio hataki nyimbo zake zichezwe Wasafi media wala hataki any interview na Wasafi. Tangu atoke Wasafi hajawai peleka nyimbo yake ipigwe pale Wasafi ndio maana unaona nyimbo za nyuma zipo zinapigwa sana tu.
Kuna wasanii wanataka kuitia ubaya Wasafi media so wanazuia kiaina content zao ziende pale mwingine ni Kiba, sema kwa Kiba Wasafi wameamua kufosi tu ili kuondoa picha ya ubaya.
Sent using Jamii Forums mobile app