Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam!

Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!

Diamond amekuwa dictator mwingine ndani ya Tasnia ya muziki. Diamond amekuwa akilia na wamiliki wa radio kutopiga nyimbo zake na wasanii wake lakini sasa amepata radio yake anafanya yale aliyokukuwa anayapinga!

Nini kimpata Diamond? Kuna wasanii wengi nyimbo zao hazipigwi Wasafi lakini Harmonize ni mfano wetu wa Leo!

Diamond bado anayo shida na Harmonize na hataki kukubali kijana aliamua kusonga mbele na kujitegemea kama yeye alivyo amua kutoka kwenye mikono ya Clouds Fm

Diamond alipaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kuhakisha kila wimbo unapigwa kwenye radio yake....


Pamoja na Diamond kupost album ya Harmonize instagram akionesha kusupport lakini haileti maana kama Wasafi Fm hawachezi hata wimbo mmoja wa Harmonize....


Lazima watu watambua kuwa Nasema ni wasafi Fm kwakuwa radio ina nguvu kuliko tv hivyo platfomu muhimu kwa wanamuziki ni radio na tangu Harmonize aachane na lebo ya Wasafi ,Wasafi Fm waliacha kucheza nyimbo zake......


Ni wazi madj na watangazaji hawawezi kufanya jambo bila maelekezo ya mabosi wao....

Tumeona tuyaseme haya hili Diamond kama msanii ajirekebishe na asifanye yale ambayo alikuwa ana yakataa kwa wamiliki wengine wa radio



Wasalaam!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Diamond hajapiga marufuku nyimbo ya msanii yoyote kuchezwa Wasafi Fm acha kupotosha. Harmonize ndio hataki nyimbo zake zichezwe Wasafi media wala hataki any interview na Wasafi. Tangu atoke Wasafi hajawai peleka nyimbo yake ipigwe pale Wasafi ndio maana unaona nyimbo za nyuma zipo zinapigwa sana tu.

Kuna wasanii wanataka kuitia ubaya Wasafi media so wanazuia kiaina content zao ziende pale mwingine ni Kiba, sema kwa Kiba Wasafi wameamua kufosi tu ili kuondoa picha ya ubaya.
 

Sio kweli kabisa! Unatetea usicho kijua


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Write your reply...mnaandika sjui kama mmetoka kuvuta bangi mbona hicho kichwa cha habari hakieleweki

Kita editiwa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Bado umelala nahis ukiamka rudia kwandika vizur tuelewe.

Pesa ya mtu usimpangie cha kuifanyia au matumizi
 
Diamond platinumz hakulalamika Bali alisema yeye ni kama maji hata wasipopiga nyimbo zake watacheza hata matangazo yake kama Pepsi, pari match nk.
Na hakuishia hapo akafungua na media yake.

So na uyo konde kama cloudsfmtz na E-fm hawamtoshi basi na yeye afungue CHITOHOLI FM REDIO apigage hizo bedroom mix na za ibraa tz.

Maisha Hayahitaji complications sana,kukizibwa huku basi unaangalia upande mwingine.
 
Tuoneshe wapi diamond alisema marufuku kupiga ngoma za Harmonize? Na kingine nikusahihishe diamond hajawahi kulalamika ngoma zake hazichezwi ila alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio azipigi nyimbo zake baada ya mjadala wa ngoma zake kutokupigwa kuwa mkubwa.Kiufupi mzee ukujipanga kuleta mada yako hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…