Diamond amesafishiwa Barabara na wanambeya

Diamond amesafishiwa Barabara na wanambeya

Wewe ni msemaji wasafi ama??

Ntashangaa Sana kama ulipwi hata Mia na mondi
 
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa wakiimba Simba Simba pamoja na kuimba wimbo baba lao kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

NB: binafsi nimefuraishwa na hili tukio maana tumekuwa tunayaona haya kwa nchi za wenzetu hasa wasanii wa Marekani Sana.Hii inaonesha jinsi gani watanzania wanapenda mziki wetu sana

#Musicstartathome
Alisafishiwa na vijana wahuni wa Mwanjelwa,hakuna mtu mwenye akili timamu mtu mzima anayehangaika na Daimondo
 
Alisafishiwa na vijana wahuni wa Mwanjelwa,hakuna mtu mwenye akili timamu mtu mzima anayehangaika na Daimondo
Unataka kuniambia hata wale waliomsafishia Lowassa Barabara nao hawana akili timamu?
 
Sijajua ni sh ngapi kalipwa ila yule ni mwanasiasa lazima atumie ushawishi wa mondi kuteka hisia za wanambeya ili achukue Jimbo.Nimeona pia alimkaribisha mondi nyumbani kwake na wakafanya Kama tafrija fulani hivi
Sugu anamlaza na Viatu huyu Mama
 
Bora nishindie michembe kuliko kupoteza muda wa kuambiwa kuruka,kunyoosha mikono juu
Show ya kigoma itakuwa classic na pia ndo ya kufunga mwaka Kama ile aliyofanya Kenya kwenye uzinduzi wa a boy from tandale album cos itakuwa kuwa ni live band kwahiyo hayo masuala ya mikono juu itakuwa haipo.
 
Domo hawezi live band. Hio ya kenya ilikua floppy balaa

Hapo umeongea kwa chuki mondi kwenye live band yupo vizuri sana ana sauti tamu alafu anajua kucontrol sauti kupanda na kushuka pia kukaa kwenye key na kubadilisha sauti kwenye same performance hata master Jay alimuambia live band anaijua vizuri tatizo lake lipo kwenye pay back anaimbaga nje ya key.
 
Kwan master jay ndo nani eti akisema jambo lipigiwe makofi pheeew. Hajui live band anawadanganya tu wabongo. Tafuta live band ujioneee wataalamu acha kusifia sifia visivyosifika

Back
Top Bottom