Diamond amesafishiwa Barabara na wanambeya

Kwan master jay ndo nani eti akisema jambo lipigiwe makofi pheeew. Hajui live band anawadanganya tu wabongo. Tafuta live band ujioneee wataalamu acha kusifia sifia visivyosifika
Master Jay ni mtaalamu wa muziki anaujua mziki kuliko wear ni producer was mziki na kawatoa wasanii wengi kupitia utengenezaji wake wa nyimbo nzuri mfano watu mandojo na domokay, lady Jay Dee,z Anton n.k
 
Porojo tu

Hichi ndio kinafanya watu wawaone nyie mashabiki wa mond mahayawani na hii inawapelekea watu wawadharau kwa kulazimisha vitu ambavyo havipo mond anajua kuitumia sauti yake na kutengeneza hit song ila hana sauti nzuri hata kidogo na kwenye live band mond hamna kitu coke studio alikuwa anapuyanga tu sauti mbaya, kuimba yenyewe shida tu km una clip wakati anaimba hiyo sauti tamu unayoisema hebu iweke hapa
 
Master Jay ni mtaalamu wa muziki anaujua mziki kuliko wear ni producer was mziki na kawatoa wasanii wengi kupitia utengenezaji wake wa nyimbo nzuri mfano watu mandojo na domokay, lady Jay Dee,z Anton n.k
Masta jay Huyu huyu aliyesema harmonize hajui kuimba? Baadae harmonize akawa star kuliko yeye? Master jay huyu huyu aliyesema k2ga na chid hawajui kuimba Leo hii wapo kings music? Master jay huyu huyu ambaye washindi wote aliowachagua kwenye bss hawajawahi kuhit? Tanzania nzima Joett peke yake ndie anajua mziki,nandy alikuwa hajui kuimba alifundishwa kuimba na akawa star
 
Sema nyinyi akili hamna kipindi kile harmo yupo bongo star search hata kuimba maneno kwa ufasaha alikuwa hawezi badala ya malaika anasema maraika sauti yenyewe ilikuwa Haina mvuto so alistahili kutolewa ndomaana baada ya kusainiwa na WASAFI anakalishwa mwaka 1 bila kutoa ngoma Ili anolewe zaidi cos kitu kilichomvutia mond kwa harmo ni uandishi wake.
 
Master Jay ni mtaalamu wa muziki anaujua mziki kuliko wear ni producer was mziki na kawatoa wasanii wengi kupitia utengenezaji wake wa nyimbo nzuri mfano watu mandojo na domokay, lady Jay Dee,z Anton n.k
Mandojo na domokaya walitolewa na master j? Sio p funk kisha wakahamia kwa mika mwamba.

Umepotosha.
 
Hebu fikiria upya hapo kwenye kuimba coke studio.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenye sauti nzuri,wanaojua kuimba na kutamka maneno kiufasaha mbona hawajahit kumzidi harmonize? Master jay hana sikio la muziki,
 
Hao wenye sauti nzuri,wanaojua kuimba na kutamka maneno kiufasaha mbona hawajahit kumzidi harmonize? Master jay hana sikio la muziki,
Lile ni shindano na wanaangalia wasanii wenye kujua kuimba sio kuandika nyimbo kutokana na vipaji vingi vilivyojitokeza ndomaana harmo akatolewa.
 
Lile ni shindano na wanaangalia wasanii wenye kujua kuimba sio kuandika nyimbo kutokana na vipaji vingi vilivyojitokeza ndomaana harmo akatolewa.
Master jay hana sikio la muziki, ushabiki tu wa kipuuzi ndio uliotawala hapo bss,hata huyo dogo meshak sioni km atatoboa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…