mboga TZ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 444
- 503
Wasalaam wakuu natumaini ni wazima wa afya tele,twenzetu kwenye mada novemba 9 Ilikuwa ni grand final ya wasafi festival in daresalaam nikili kuwa tamasha lilikuwa na muamko mkubwa Sana japo kuwa mapungufu machache lakin msanii diamond ameendelea kudhihirisha kuwa yeye ni mwamba baada ya kufanya show kali kuliko hata hao wasanii wakubwa.
Kama wizkid jamaaa ameonyesha kuwa hafai kabsa nimeona pia kuwa jamaaa anaheshimika Sana na wasanii wakubwa ndo maana wizkid alivopokea simu kutoka kwa simba hakujiuliza mara mbili jibu lilikuwa yes ntashiriki unaweza kuona jinsi gani alivyokuwa na nguvu kubwa maana wote wanamwita brother hii ni appreciation kuwa yeye ni msanii mkubwa.
Kumbuka wakat huohuo wizkid ni msanii mkubwa Sana lakin amekuwa hana kibur mbele ya simba anajua jamaa kuwa hafai ,diamond mazur yake ni mengi kuliko mabaya siwez kubisha kuwa nyimbo yake hii babalao siyo nzur imeepenya kwa ajili ya fan base kubwa aliyonayo lakin hyo siyo sababu ya kusema Mond kashuka kimuziki.
Tanzania hapa hakuna wa kumfikia ukweli ndo huo afu jamaa anacheza na mikakati hawa wakina wizkid na Tiwa savage hawaondoki hvihvi lazma apge nao ngoma yeye Kira kitu ni fursa hapo ndo wanapopigwa gap wasanii wa bongo. Majukumu mema wakuu na muwe na asubuh njema