DIAMOND ametuonyesha watanzania kuwa anaheshimika na wasanii wenzake Africa

DIAMOND ametuonyesha watanzania kuwa anaheshimika na wasanii wenzake Africa

Wizkid mwenyewe ambaye dunia nzima inamtambua anajua umuhimu wa simba afu eti wasanii wa bongo ambao wamezidiwa vyote wanamuonea wivu diamond hvi ni vichekesho kwa kweli
Una uhakika kawazidi vyote??ungejua MO anadaiwa 500 billions
 
Kazi nzuri hongera sana mond, show nilikubali maana wasanii wetu wa miaka ya 2000+ walipotezwa ila tumeona wengine wapo hai kabisa na nguvu
 
Hata ukiangalia maneno aliyosema Wizkid kwenye press conference ya Jana inaonesha jinsi gani jamaa anamuheshimu Sana diamond na pia diamond anamuheshimu pia Wizkid so why akampa tuzo kwa kutambua mchango anaofanya kwa mziki wa Africa.Hii ndo inaitwa African unity ila kwa wasanii wetu wa bongo wamejawa chuki za kijinga Sana.
Mmojawapo ni Alikiba ana roho ya kwanini sana huyu jamaa
 
Kama wizkid jamaaa ameonyesha kuwa hafai kabsa nimeona pia kuwa jamaaa anaheshimika Sana na wasanii wakubwa ndo maana wizkid alivopokea simu kutoka kwa simba hakujiuliza mara mbili jibu lilikuwa yes ntashiriki unaweza kuona jinsi gani alivyokuwa na nguvu kubwa maana wote wanamwita brother hii ni appreciation kuwa yeye ni msanii mkubwa.

Kumbuka wakat huohuo wizkid ni msanii mkubwa Sana lakin amekuwa hana kibur mbele ya simba anajua jamaa kuwa hafai ,diamond mazur yake ni mengi kuliko mabaya siwez kubisha kuwa nyimbo yake hii babalao siyo nzur imeepenya kwa ajili ya fan base kubwa aliyonayo lakin hyo siyo sababu ya kusema Mond kashuka kimuziki.
Wizkid hajatoka Nigeria kuja Dsm kupiga show bure!.. Hakuna heshima yoyote ni Business Motive!.
Hata wewe ukiwa na mpunga mrefu unaweza mualika Drake aimbe kwenye birthday yako. MONEY TALK!...

Karibu Mjini!.
 
siku atakayomsaidia babake atoke kwny ufukara wa kutupwa ndo ntaamini kua mafaniko yake ni juhudi zake binafsi na sio nguvu za "wajenzihuru" kwa kumfanya babake ndondocha!...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
siku atakayomsaidia babake atoke kwny ufukara wa kutupwa ndo ntaamini kua mafaniko yake ni juhudi zake binafsi na sio nguvu za "wajenzihuru" kwa kumfanya babake ndondocha!...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamsaidie baba yako kwanza mambo ya baba yake huyajui kaa kimya.
 
Back
Top Bottom