Kama wizkid jamaaa ameonyesha kuwa hafai kabsa nimeona pia kuwa jamaaa anaheshimika Sana na wasanii wakubwa ndo maana wizkid alivopokea simu kutoka kwa simba hakujiuliza mara mbili jibu lilikuwa yes ntashiriki unaweza kuona jinsi gani alivyokuwa na nguvu kubwa maana wote wanamwita brother hii ni appreciation kuwa yeye ni msanii mkubwa.
Kumbuka wakat huohuo wizkid ni msanii mkubwa Sana lakin amekuwa hana kibur mbele ya simba anajua jamaa kuwa hafai ,diamond mazur yake ni mengi kuliko mabaya siwez kubisha kuwa nyimbo yake hii babalao siyo nzur imeepenya kwa ajili ya fan base kubwa aliyonayo lakin hyo siyo sababu ya kusema Mond kashuka kimuziki.