DIAMOND ametuonyesha watanzania kuwa anaheshimika na wasanii wenzake Africa

mboga TZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
444
Reaction score
503
Wasalaam wakuu natumaini ni wazima wa afya tele,twenzetu kwenye mada novemba 9 Ilikuwa ni grand final ya wasafi festival in daresalaam nikili kuwa tamasha lilikuwa na muamko mkubwa Sana japo kuwa mapungufu machache lakin msanii diamond ameendelea kudhihirisha kuwa yeye ni mwamba baada ya kufanya show kali kuliko hata hao wasanii wakubwa.

Kama wizkid jamaaa ameonyesha kuwa hafai kabsa nimeona pia kuwa jamaaa anaheshimika Sana na wasanii wakubwa ndo maana wizkid alivopokea simu kutoka kwa simba hakujiuliza mara mbili jibu lilikuwa yes ntashiriki unaweza kuona jinsi gani alivyokuwa na nguvu kubwa maana wote wanamwita brother hii ni appreciation kuwa yeye ni msanii mkubwa.

Kumbuka wakat huohuo wizkid ni msanii mkubwa Sana lakin amekuwa hana kibur mbele ya simba anajua jamaa kuwa hafai ,diamond mazur yake ni mengi kuliko mabaya siwez kubisha kuwa nyimbo yake hii babalao siyo nzur imeepenya kwa ajili ya fan base kubwa aliyonayo lakin hyo siyo sababu ya kusema Mond kashuka kimuziki.

Tanzania hapa hakuna wa kumfikia ukweli ndo huo afu jamaa anacheza na mikakati hawa wakina wizkid na Tiwa savage hawaondoki hvihvi lazma apge nao ngoma yeye Kira kitu ni fursa hapo ndo wanapopigwa gap wasanii wa bongo. Majukumu mema wakuu na muwe na asubuh njema
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Watakuja wenye mambo ya team sijui nani? Na wale wanamchukia bila sababu
 
Nikawa nasoma kwa hamu nikitaka nione "amewaonesha kuwa anaheshimika"
 
Kawaida Sana mkuu wabongo ndo tulivyo hatuamini kwenye juhudi mtu akifanikiwa wao kinachowajia akilini ni ufremason tu
Umemaliza kila kitu mkuu. Watakuja wenye mambo ya team sijui nani? Na wale wanamchukia bila sababu
 
Hata ukiangalia maneno aliyosema Wizkid kwenye press conference ya Jana inaonesha jinsi gani jamaa anamuheshimu Sana diamond na pia diamond anamuheshimu pia Wizkid so why akampa tuzo kwa kutambua mchango anaofanya kwa mziki wa Africa.Hii ndo inaitwa African unity ila kwa wasanii wetu wa bongo wamejawa chuki za kijinga Sana.
 
Unadhani wamefanya bure?
Wamelipwa ndio..... Hata King Kiba aliambiwa alipwe akakataa akasema na yeye anatafuta mafanikio yake.

Hata Wizkid na Tiwa Savage wangeweza kukataa na kusema wanapambania mafanikio yao...

So yes Ni kwamba huyu dogo anaheshimika Sana na anatuaibisha watu wazima maana ametoka tunamwona na Sasa Ana hela ambayo wengi wetu tunaiota tu....

Salute Diamond
 
Wizkid mwenyewe ambaye dunia nzima inamtambua anajua umuhimu wa simba afu eti wasanii wa bongo ambao wamezidiwa vyote wanamuonea wivu diamond hvi ni vichekesho kwa kweli
 
Kwa msanii kama wizkid na Tiwa savage kuja Tanzania,kualikwa na mtoto wa tandale,mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza,mtoto ambae hata form 4 hajamaliza(kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement...kiukwel Diamond kaleta mabadiliko makubwa mno anastahil sanamu lake mjini posta,na kumbukumbu zake ziwekwe makumbusho ya taifa,apewe hata PHD ya heshima akiwa hai tusisubiri afe ndo tuanze unafiki!!!Leo hii Diamond ameajiri watu zaidi ya 200,wenye elimu kumzidi na wasio na elimu,watanzania tuweke unafiki pembeni nigga deserves big respect
 
Wamelipwa ndio..... Hata King Kiba aliambiwa alipwe akakataa akasema na yeye anatafuta mafanikio yake.

Hata Wizkid na Tiwa Savage wangeweza kukataa na kusema wanapambania mafanikio yao...

So yes Ni kwamba huyu dogo anaheshimika Sana na anatuaibisha watu wazima maana ametoka tunamwona na Sasa Ana hela ambayo wengi wetu tunaiota tu....

Salute Diamond
Hata sisi vijana tunalakujifunza
 
Kwa msanii kama wizkid na Tiwa savage kuja Tanzania,kualikwa na mtoto wa tandale,mtoto alielelewa na single mother kwa maisha ya kubangaiza,mtoto ambae hata form 4 hajamaliza(kama kamaliza basi kafeli) ni bonge la achievement...kiukwel Diamond kaleta mabadiliko makubwa mno anastahil sanamu lake mjini posta,na kumbukumbu zake ziwekwe makumbusho ya taifa,apewe hata PHD ya heshima akiwa hai tusisubiri afe ndo tuanze unafiki!!!Leo hii Diamond ameajiri watu zaidi ya 200,wenye elimu kumzidi na wasio na elimu,watanzania tuweke unafiki pembeni nigga deserves big respect
Heko mkuu[emoji1547]
 
Back
Top Bottom