Diamond amfumua zari , amwambia amuige hamisa ku move on ...

Diamond hapaswi kumfananisha Zari na Misa katika hilo.
Misa hana cha kuumia kwa sababu tangu mwanzo alijua zari yupo na akaenda kujiingiza.

Zari alidanganywa kwamba yupo peke yake, akapoteza muda wake, nguvu zake na pesa zake. Akatukanwa akaitwa majina ya dharau lakini akavumilia tuu kubaki na Dai.

Sasa anategemea after kuachana reaction zao ziwe sawa?. Afanye mambo ya msingi aache kuongelea Ex (s) zake kila anapotoa nyimbo.
 
Hivi huyu Diamond si ndio alisema hawezi kumtunza baba yake kisa alimuacha bila malezi,sasa na yeye anafanya nini kwa watoto wake...?

Si ndio alichojifunza kwa babaye, aliachwa naye anawaacha.

Tabiao zao za malezi
 
Wewe usioupenda umaskin humu inafanya nini ? Mwenzio Niko established sina njaa kama wewe ndio maana nime relax , sasa wewe usiyependa kufuatilia maisha ya watu humu unafany nn mxieew njaa unazo wewe
Njaa tupu. Masikini utamjua kwa mawazo, matendo na akili yake. Nakuona una mawazo na matendo ya kifukara.
 
Aiseee domo kumbe anaumizwa na king bae bwahahaha
 
Huku celebrities forum ulitegemea kuzungumziwe maisha ya ngedere?
Hamjazuiwa kuwazungumzia hao maceleb wenu lkn tatizo ni mnawazungumzia katika angle ipi? Inawasaidia nini nyie na vizazi vyenu? Haya ni majungu na si kingine.
 
tuanaomba muwe wavumilivu na watulivu, tutawataarifu yanayojiri baada ya kikao.
 
Hamjazuiwa kuwazungumzia hao maceleb wenu lkn tatizo ni mnawazungumzia katika angle ipi? Inawasaidia nini nyie na vizazi vyenu? Haya ni majungu na si kingine.
Celeb forum haichagui angle, iwe kusifu, kulaumu etc zote twende... Huipendi ya kuponda, subiri ya kusifu na kinyume chake... Anyway, utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu.... Imajini wote TUNGEKUWA na madaraka ya JPM, pangekalika?
 


Hamisa kamsema live na Tanasha wake.. mbona anamparamia Zari tu!!!

Bado anampenda na utofauti wa maisha yanampiga kiaina mbayaaaaa anajuta. uchungu wa kuachwa anakuwa punguani sasa.. kiki zimebuma..
Zari mkomeshe sasa.. huyo zaidi mtelekeza watoto na mpenda down. Awards hata mialiko ya kuimba hana tena.. hakutumia akili hadi amekukosa kabisaaa.. Kingbae anampa uchwizi.. ha ha haaaa



 
Hamjazuiwa kuwazungumzia hao maceleb wenu lkn tatizo ni mnawazungumzia katika angle ipi? Inawasaidia nini nyie na vizazi vyenu? Haya ni majungu na si kingine.
Ubongo wa hawa unfortunate forks ushaingiwa na virus.
 
Kwani MANGE KASEMAJI Kuhusu Hili?
 
Write your reply...Bila kumtaja Zari hapati kiki. Bsba Tiffah hajamove on kabisa bado aniamuota Zari. Pole yake.
 
Diamond hajamove on mpaka leo [emoji23][emoji23][emoji23] kweli mganda kiboko
 
Piga simu uongee nae maana hapa hayupo,kingine wewe hujawahi kuacha au kuachwa fanya kutatua yako waachie ya kwao kwa sababu hayakusaidii kwa lolote
 
Na wewe unapat wapi muda wa kusoma umbea kama sio jobless kama Mimi ? Kwanza wewe utakua shoga tu au serengeti boy, wanaume wa kweli wapo kazin sasa hvi wanafanya Kazi , umbea tuachie wanawake mxieew mbwa wewe
Siku zote nilijua wewe ni mwanaume kumbe ni mwanamke basi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…