Diamond amfumua zari , amwambia amuige hamisa ku move on ...

Haja move kitendo cha kumbloki ni ubabaifu,mondi hamtaki Zari anampiga matukio tuu!!!Bidada kutwa kuringisha hawara mpya!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ni ubabaifu mkubwa mnooo
 
Huyo Zari anavyotangaza life lake insta ,maisha yako insta?!!!huyo Zari maisha yake yote insta na mnamsifia mshawahi kutana nae in real life hata siku mmoja!
Jikaze binamu bwanaa
 
Haja move kitendo cha kumbloki ni ubabaifu,mondi hamtaki Zari anampiga matukio tuu!!!Bidada kutwa kuringisha hawara mpya!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ni ubabaifu mkubwa mnooo

Ila yeye kumtaja taja Ndo ka move on ? Apambane na tanasha nyota ya bundi, aachane na Zari , hatutoi Kiki Mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…