sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Iko wazi poti!Tatizo la Majizo anajukuta bonge la Ruge kumbe mwamba yuko shalo sana kwenye ku analyse mambo sema nini mwamba mpunga kauotea mambo swadakta,lakini kichwani mweupe sana.
Clean! Diamond Platnumz ametoa somo fupi lenye uelewa kwa ambao hawakufahamu. Hata Mx Carter amekuwa akitoa hili somo sema taarifa za maarifa hazipewi nguvu.Kwenye haya mambo inahitajika elimu kubwa kujua jinsi gani vijana wenzetu wanafaidika na online platform
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cros mataputapuViews ------ Eur
39.4m --------- Eur 32,266
60m. -------- X
Krosi mataputapu x = Approximately Eur 49578,kwa video moja tu ya Waah,hapo bado Yope,Inama,Mary Me,Number One rmx nk.Hapo bado hujapiga za kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,Boombplay,Audiomack nk.
Kwa mujibu wa account twitter ya Swahili Times Diamond kwa mwezi ana views kati ya 33k-35k kwa miaka zaidi ya miwili mfululizo apply hapo krosi mataputapu kwa mwezi hakosi mil 60-70.
Ngojea waje wanao ponda hapa naona watahamisha magoli.
Sometimes si kila kitu ni cha kuamini sana.............kiki zinatengenezwa kwakubust mambo yaoMajizzo ni mweupe sana..Sema mtu akishakuwa na hela kiasi wabongo huwa tunaheshimu tu,maana kutengeneza pesa nako ni akili labda isiwe halali.
Ashakujaga na kiresearch chake uchwara cha kupika kuwa redio yake inaongoza kwa market share ya 50pc kwa dar na pwani lakini haijulikani ni nani wamefanya tafiti,wakati geopoll tafiti zao zinawarenk nafasi ya nne..msanii sana huyu jamaa
True,Sometimes si kila kitu ni cha kuamini sana.............kiki zinatengenezwa kwakubust mambo yao
Stress zako sio za nchi hii.Misukule
Mjinga kweli we, hizo hela zinakuja zenyewe TU bila akili.Tatizo la Majizo anajukuta bonge la Ruge kumbe mwamba yuko shalo sana kwenye ku analyse mambo sema nini mwamba mpunga kauotea mambo swadakta,lakini kichwani mweupe sana.