Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

Mleta mada "Anakalia," lazima amwage sifa na makopa.
We sio ndo ulisema zuchu anapokea hela kidogo wewe sijui diamondo anakata asilimia kadhaaa sasa kama mil 27 viewers wale huoni kabisa kijana zuchu atleast anakulakula..... tofauti na mzee wetu yule wa huo ni ushamba 6.5 mil views na hapo hatujui kama zinaangaliwa wapi..kama ndo huko mayotte buza nahisi 45450tsh😂😂😂
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii pesa imetokana na nyimbo moja ya waaah
Sasa weweeee mpaka mtu kakuonyesha acccount yake jinsi inavyoingiza hela ulitaka mpaka mkatoe nae benki au.??

Yeye pale kaweka vile sio promo bali ushahidi... kama uongo hao youtube si wanakataaga scam info au mm ndo nakosea?
 
We sio ndo ulisema zuchu anapokea hela kidogo wewe sijui diamondo anakata asilimia kadhaaa sasa kama mil 27 viewers wale huoni kabisa kijana zuchu atleast anakulakula..... tofauti na mzee wetu yule wa huo ni ushamba 6.5 mil views na hapo hatujui kama zinaangaliwa wapi..kama ndo huko mayotte buza nahisi 45450tsh😂😂😂
Anyway tafuta maisha. Kwa Huu utoto utaishia kufilimbwa tu kwasababu haukuongezei hata 100 mbovu mfukoni.
 
Sahivi kwa huu ushahidi nawaza tu hapa kijana atakua ana pesa sana
Kwa kweli maana pale yope kuna 100 million views hata kama wamechkua 50/50 bado kaula poa tu
Bado inama
Bado african beauty and so and so

Hizo hela za youtube tu ananenepa
Bado pengine huko spotify na platform nyingine

Ndo maana ana jeuri
Hapa enyewe nakumbushwa nyumba ya sauzi ni yake ile .....watu na pesa zao

Tutafte pesa wajomba
 
Views ------ Eur
39.4m --------- Eur 32,266
60m. -------- X

Krosi mataputapu x = Approximately Eur 49578,kwa video moja tu ya Waah,hapo bado Yope,Inama,Mary Me,Number One rmx nk.Hapo bado hujapiga za kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,Boombplay,Audiomack nk.

Kwa mujibu wa account twitter ya Swahili Times Diamond kwa mwezi ana views kati ya 33k-35k kwa miaka zaidi ya miwili mfululizo apply hapo krosi mataputapu kwa mwezi hakosi mil 60-70.

Ngojea waje wanao ponda hapa naona watahamisha magoli.
🙂👍
naona hesabu haikukutupa mbali
 
Anyway tafuta maisha. Kwa Huu utoto utaishia kufilimbwa tu kwasababu haukuongezei hata 100 mbovu mfukoni.
Umeona ulivo mpuuzi
Mm maisja yangu huyajui ww
Tafuta na ww
Maswala ya kuflimbwa ni ww na upuuzi wako wa kipumbavu......
Utamjua tu mtu na akili yake

Jitu zima ushazoea mambo yako ya kipmumbavu basi unahisi kila mtu akikosa hela atafilimbwa kama wewe.....

Kuna njia nyingine wewe za kupata hela sio hiyo njia yako pendwa😂😂😂😂
 
Account ni yake, wewe ni nani useme siyo yeye?
Hata "Mwendazake" alikuwa na account Twitter na ilikuwa inaandika "Kizungu " kizuri saana ...Inahitaji common sense tu kun'gamua hili swala...ni swala dogo saana
 
Anyway tafuta maisha. Kwa Huu utoto utaishia kufilimbwa tu kwasababu haukuongezei hata 100 mbovu mfukoni.
Hapa ndio umeonesha kuwa na wewe pia ni msukule unawaponda wenzako kuwa ni misukule ya Wasafi kumbe na wewe unafanya kile kile wanachofanya wao.
 
Diamond hajasoma sema ana-analyse mambo kisomi...hii ndio maana halisi ya akili kubwa... Usomi sio kujaza maPhD na kuongea mapumba matupu yasiyowasaidia vijana wenzako
Nani kakudanganya ni Mondi kaandika hayo, miaka mia hana muandiko huo wala hana akili za ku analyze vitu, hehehehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakudanganya ni Mondi kaandika hayo, miaka mia hana muandiko huo wala hana akili za ku analyze vitu, hehehehe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ana miaka 11 kwenye industry ya music hayo masuala lazima ayajue kwa sababu ni sehemu ya music wake pia ni ceo wa Wasafi media yupo vizuri kibiashara sema ufuatilii interview za huyu Bwana ndogo ndio maana uwelewi mambo.
 
Boss wako unamuita bwa’mdogo? Lokole una jeuri.
 
Back
Top Bottom