Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
"Distribution sales" ndiyo nini? Kama ni Youtube kumlipa pesa kulingana na total views za music video, hapo hakuna distribution/usambazaji wala sales/mauzo. Bali ni mapato kutokana na idadi ya watazamaji. Algorithm ya Youtube ndiyo inaamua alipwe kiasi gani kulingana na idadi ya watazamaji. Hamna cha mauzo wala usambazaji zaidi ya kubandika music video Youtube na kusubiri algorithm ifanya kazi yake.