Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

jenga hoja,acha upupu matusi pia nayajua sema nini nakukaushia tu..
 
Ndio maana Msukuma anawadharau sana wasomi!

Ona huyu Diamond na elimu yake ya form ya kufeli lakini ona hizo nondo alizotoa hapo juu na mihela hiyo anayopiga!
Hivi kwa akili yako ya kawaida na wewe umeamini kabisa hilo andiko ni la "mtoto wa Tandale"? Ukiwa na Pesa siku zote utaonekana una akili hata ukiwa kilaza....kwani wenye akili wote lazima watakuwa watumwa wako
 
Mkuu umenikumbusha.
Nakumbuka miaka ya 2014/2015. Geopoll walikuwa wanaitumia sms za savey. Nikujibu wananijaza airtime ya buku au jero. Nilikuwa naona rahaaaaa balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…