Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
"Distribution sales" ndiyo nini? Kama ni Youtube kumlipa pesa kulingana na total views za music video, hapo hakuna distribution/usambazaji wala sales/mauzo. Bali ni mapato kutokana na idadi ya watazamaji. Algorithm ya Youtube ndiyo inaamua alipwe kiasi gani kulingana na idadi ya watazamaji. Hamna cha mauzo wala usambazaji zaidi ya kubandika music video Youtube na kusubiri algorithm ifanya kazi yake.
Mkuu watu wengi hasa watz wamesoma kimadarasa au vyuo lakini kichwani ni sifuri kabisaa wengine ni maprofesa kabisaa kusoma na kuelimika tuone utifauti wako msomi na asiye msomi sasa kama huna tofaut na darasa la7 huku umesoma hilo ni tatizo kubwaDiamond hajasoma sema ana-analyse mambo kisomi...hii ndio maana halisi ya akili kubwa... Usomi sio kujaza maPhD na kuongea mapumba matupu yasiyowasaidia vijana wenzako
Nani huyo mwanamke amezaa na mond pia na dj majizo???Hivi mnajua mnawaongelea wanaume wawili waliozaa na mwanamke mmoja?
Hamisa mobettoNani huyo mwanamke amezaa na mond pia na dj majizo???
Serious? Sema unamsingizia Mkuu!Alisema YouTube ni takatakata
Ebu kasikilize vizuri interview yake alafu uone kama ninamsingiziaSerious? Sema unamsingizia Mkuu!
Nimemsikiliza, jamaa anaonesha ana uelewa mdogo sana. Mbaya zaidi, ni pale Gerald Hando na yeye aliposema kwamba wanamuziki wa US hawategemei YouTube wakati alichoshindwa kufahamu sio kwamba hawategemei YouTube bali Wanamuziki wa Western wameshindwa competition na YouTubers wa sekta zingine za burudani! Kwa mfano, wapo wanaopiga zaidi ya USD 20 Million kwa mwaka! Hakuna mwanamuziki wa US anayeweza kudharau pesa kama hiyo bali wanashindwa tu kufikia hicho kiwango lakini YouTubers wengine wanafikia!Ebu kasikilize vizuri interview yake alafu uone kama ninamsingizia
Usibabaike na story wanazotengeneza watu baada ya kufanikiwa, hata wewe ukitajirika unaweza kutuambia kuwa ulianzia kuuza karanga, Ili tuamini kuwa ume hustle.Majizo kauotea???? Hiv unajua ze way jamaa kahangaika??