Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Bwana mdogo nadhani una maskauti wanaopeperusha newz zako humu, hao wakufkshie taarifa.. Kuna Mkongomani anamburuza nyapu Wema Sepetu. Amka bro mali yako inaliwa. Mkongo huyo ana pesa ndefu, ndiye aliyekuwa anamnyembua Jack Wolper kule Nairobi.

Wahudumu wa Regency Park pale Mikocheni wanajua sakata lote na time Wema anapotingaga hotelini hapo. Mara ya mwisho ni juzi tarehe 16, jamaa limekula mzigo. Mkongo mwenyewe anavaa Kinigeria na anatembelea Range nyekundu na wapambe watatu kwenye Mark X nyeusi.
 
Dinazarde, Madame B njooni msikie ubuyu uku

ha ha ha binamu bana. hilo kongoman acha lijilie mzigo maana hyo domo muda wote kiguu na njia na babu tale wake unaeza kuta domo anajua anamegewa ila kwa kuwa wema kamshikia nyota domo hamna kesi
 
Last edited by a moderator:
Wema mbona anamegwa tu kipindi kile tulijua kaachana na Kanumba, K alivyofariki Wema akasema hakuwah kuachana na K walikua wanafanya siri na hapo yupo na Dai kimahusiano loo
 
Ndomo na yeye hatak kusafir na mama ubaya maana anajua atakosa viburudisho uko majuu, dah wote wamekutana uko chini sijui kuna ----- hawawez kuvituliza ivo vi tuntuni vyao

Domo ashaambiwa Wema sio wa kuoa,ndio maana yupo yupo tu dai ni mwanaume sifa ya umalaya hua ipo kwa Mwanamke
 
Domo kumuacha Wema badoo sana....alafu kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
siku zote Domo anavyosafiri anategemea
yule atakaa kumsubiri tu

Sasa ndo napata majibu ya zile pesa alizozimwaga kule thai village, kumbe ndo mambo ya mkongo man, mtoto malaya yule, maana nilishangaa ndomo ampe mama ubaya pesa zote zile, kumbe watu wametoka kumanua
 
Ndomo nae anapigiwa? warumi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom