warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hiyo ndoa ikifungwa nahama Tanzania
Mimi narudi kimbiji kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndoa ikifungwa nahama Tanzania
Sasa ndo napata majibu ya zile pesa alizozimwaga kule thai village, kumbe ndo mambo ya mkongo man, mtoto malaya yule, maana nilishangaa ndomo ampe mama ubaya pesa zote zile, kumbe watu wametoka kumanua
Ndomo nae anapigiwa? warumi
Hhhhaaaaaa dai bahili acha mkongo atoe mapesa
Ndomo ndo mdudu gani? Anapigiwa kanye west aliyeoa sembuse uyo hawara mama ntilie
Ndomo ndo mdudu gani? Anapigiwa kanye west aliyeoa sembuse uyo hawara mama ntilie
ahahahhhhahahh, warumi wewe sikuwezi, khaa eti mama ntile, haya bana
Hili nalo neno wallah,dunia hadaa........Nanilii mwenyewe akijichanganya watu wanamgongea ngozi, sembuse huyu 'cha wote'
Wabongo wanasema baba yako mzazi ndio atakayebaki, lakini yeyote yule nitamvulia under wear....na baba mwenyewe kwanza asinipitie na boxer mbele yangu...
Jaman wengine kama hamjui kitu bora mkae kimya tu