Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

Ndomo na yeye hatak kusafir na mama ubaya maana anajua atakosa viburudisho uko majuu, dah wote wamekutana uko chini sijui kuna ----- hawawez kuvituliza ivo vi tuntuni vyao

ukiwa mbahili mademu wazuri utaishia kuita shemeji
daimond mbahili sana baas tu!
 
ukiwa mbahili mademu wazuri utaishia kuita shemeji
daimond mbahili sana baas tu!

Mbahili ila mama yake kamnunulia gari, dada yake esma kamfungulia duka la maana, wema anachezewa tu maskni
 
Mbahili ila mama yake kamnunulia gari, dada yake esma kamfungulia duka la maana, wema anachezewa tu maskni

Ila wema akome

Watu walimuonya hakusikia

Heri angeendelea kumuuzia ck akawekeza.... yey kajifanya anajua sana kuoenda utadhani ni wa kwanza kupendwa

Acha atumiwe bure akishtuka kwishnehi
 
Huyo Maulid ni mchokonoko huko insta... kuna siku alizinguana na Nargis Mohamed kama sikosei... atakuwa kaona kule ujumbe haujafika vizuri akaamua kuuleta Jf

Kumbe nawe umeona eeh! Alivyocomment kule hakuridhika sijui. Jamaa kwa uchokozi na kubishana huyo hajambo!!!
 
Kona ya udaku special na umbea. Acha wivu. Wewe wa kwako anadokolewa na nani?
 
Back
Top Bottom