Bwana mdogo nadhani una maskauti wanaopeperusha newz zako humu, hao wakufkshie taarifa.. Kuna Mkongomani anamburuza nyapu Wema Sepetu. Amka bro mali yako inaliwa. Mkongo huyo ana pesa ndefu, ndiye aliyekuwa anamnyembua Jack Wolper kule Nairobi.
Wahudumu wa Regency Park pale Mikocheni wanajua sakata lote na time Wema anapotingaga hotelini hapo. Mara ya mwisho ni juzi tarehe 16, jamaa limekula mzigo. Mkongo mwenyewe anavaa Kinigeria na anatembelea Range nyekundu na wapambe watatu kwenye Mark X nyeusi.