Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

Sasa ndo napata majibu ya zile pesa alizozimwaga kule thai village, kumbe ndo mambo ya mkongo man, mtoto malaya yule, maana nilishangaa ndomo ampe mama ubaya pesa zote zile, kumbe watu wametoka kumanua

Hahaaaaaaa kuhonga kipaji,,,,,,,,sie wote wamejaaliwa

Kina Domo wanajua kupiga dudu tu uhongaji wanauweza kina mkongoman bila

kumsahau Clement mzee wa BOT.
 
Ndomo nae anapigiwa? warumi

.....Nanilii mwenyewe akijichanganya watu wanamgongea ngozi, sembuse huyu 'cha wote'
Wabongo wanasema baba yako mzazi ndio atakayebaki, lakini yeyote yule nitamvulia under wear....na baba mwenyewe kwanza asinipitie na boxer mbele yangu...
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA

Hhhhaaaaaa dai bahili acha mkongo atoe mapesa
 
Last edited by a moderator:
ahahahhhhahahh, warumi wewe sikuwezi, khaa eti mama ntile, haya bana

Ndomo ndo mdudu gani? Anapigiwa kanye west aliyeoa sembuse uyo hawara mama ntilie
 
Ndomo ndo mdudu gani? Anapigiwa kanye west aliyeoa sembuse uyo hawara mama ntilie

Sio uyo tuu jacob zuma bodigadi wake kala mzigo wa wife wake sembuse diomond? Nini chanzo cha papii kocha kufungwa jela?
 
bluetooth23
Mleta mada na weye mwingi!!!lol yani hiyo K ya huko mdada kama ingekua inasoma milege sijui ingefika ngapi?
au kama ingekua inasema uwiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Last edited by a moderator:
sasa kama wanapendana kwa nini Domo asitoe posa akamwoa tuu huyo wema?

maana domo atasema ahhh kwani mie huyo mke wangu?
 
.....Nanilii mwenyewe akijichanganya watu wanamgongea ngozi, sembuse huyu 'cha wote'
Wabongo wanasema baba yako mzazi ndio atakayebaki, lakini yeyote yule nitamvulia under wear....na baba mwenyewe kwanza asinipitie na boxer mbele yangu...
Hili nalo neno wallah,dunia hadaa...
 
Naona mama ubaya baada ya kufulia akiwa na domo ikabidi atafte mchepuko wake wa kumpa fedha za kufanyia compitition na kajala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…