Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38


Binamu hyo gari bei ni 28 mpka 30m halafu akanunue gari hlo wakti hiyo hela inatosha kumjengea mama yke nyumba,hpo wote wanafikiria kwa makalio halafu namuona mzee wa vigodoro na team yake
 
ha ha mi mwenyewe nimeshangaa kwa ujanja wao wa kuficha namba....

hiyo gari kwa bei hiyo wanawapanga watu then inaonekana ya kitambo tu....

nakumbuka ile land cruiser V8 teh teh teh

wana kazi Sana hapo mjini

Mkuu hiyo bei wanapanga kuwatisha wa2 ile v8 inauzwa kitambo 100m mpka 90m nlitumiwa picha na dalali mmoja wa dar
 
ha ha mi mwenyewe nimeshangaa kwa ujanja wao wa kuficha namba....

hiyo gari kwa bei hiyo wanawapanga watu then inaonekana ya kitambo tu....

nakumbuka ile land cruiser V8 teh teh teh

wana kazi Sana hapo mjini

 
hongera kwa diamond ila sitaki kuja kusikia chifu kalichukua
 
Kumbe miaka yote mpaka anatoa zawadi kwa yule mzee mama alikuwa bado tu
Wauza sembe wanamatatizo kweli!
 
Halafu wameficha namba ili Kama wameazima isijulikane

Jamani hawajaficha no mbona blog zingine mf Sinta,nuru nk number zinaonekana aliyeleta hii habari ndio kachagua hiyo picha ambayo no hazionekani .
 
Mbwa thamani ya verossa,gariii milion 38 ,hizo pesa si bora wamalizie nyumba zao waishii bila kupangaaa,hapo hamna kitu ni matopee tuuu
 
Kwanini asijenge nyumba badala ya hilo gari?/
 
mmh watu mna wivu wengine hamjawahi kuwanunulia mama zetu hata kitenge cha wax fake lakini mnavyokandia .angalieni WIVU ukizidi mtakuwa wachawi maana mtamchukia mtu halafu anazidi kusonga mbele sasa mtaanza kuangahika kumloga.
 

Hata mi siamini binamu toka wema atudanganye ile nyumba ni yakee siwaamini hata kidogoo
 
Jamani hawajaficha no mbona blog zingine mf Sinta,nuru nk number zinaonekana aliyeleta hii habari ndio kachagua hiyo picha ambayo no hazionekani .

MMh wewe binamu una bifu na mleta mada tu huna lolote, yani unaaanisha kwa jinsi nilivyokuwa hater had nimechagua picha ambayo haina plate number ili watu waongee ,Kweli binamu leo umeniweza, ahsante
 

Wabongo kwa kuponda.sasa angemnunulia vits mngeponda.kamtafta gari la hadhi mamake mnaponda.yaaan kuna watu kichefchef.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…