bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,985
Haaaa a haaaa haaaa subiri povu bibie= nasubiri
Hujaacha tu ujinga niliokushikia fimbo kwa miaka kadhaa humu JF?
Punguani wahed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa a haaaa haaaa subiri povu bibie= nasubiri
Hujaacha tu ujinga niliokushikia fimbo kwa miaka kadhaa humu JF?
Punguani wahed.
Sio hii...angalia muundo wa taa za mbele ni tofauti na alizilotoa diamond
Huyu mama kama mwaka 2014 alikua na miaka 55 means sasa ana miaka 60. Bob Jiwe kazaliwa 29 October 1959. Bi Sandra kazaliwa 07 July 1959.STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38. 1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi .
![]()
Uangaliege na mwaka wa sridi we kayumbaBasi nikajua mshikaji yuko vizur kumbe nae bado ni wa Magari used ambayo ata sisi ndio tunatumia amuna kitu apo mbwembwe tu.
Kama mwaka 2014 alinunuliwa Lexus kama zawadi na ukiachana na the fact kwamba hatujawahi ona akiendesha, leo hii tena tunasikia kamnunulia sijui v8.. Ina onyesha anamtumia mama yake kutafuta headline. Hamna cha zawadi wala niniSTAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .
Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38. 1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi .
![]()
Wewe ni taahira?Kama mwaka 2014 alinunuliwa Lexus kama zawadi na ukiachana na the fact kwamba hatujawahi ona akiendesha, leo hii tena tunasikia kamnunulia sijui v8.. Ina onyesha anamtumia mama yake kutafuta headline. Hamna cha zawadi wala nini