Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .

Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.

Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38. 1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi
.

attachment.php
Huyu mama kama mwaka 2014 alikua na miaka 55 means sasa ana miaka 60. Bob Jiwe kazaliwa 29 October 1959. Bi Sandra kazaliwa 07 July 1959.

Yaan kifupi Bi Sandra ni mkubwa kuliko hata Bob Jiwe.
 
STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .

Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.

Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38. 1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi
.

attachment.php
Kama mwaka 2014 alinunuliwa Lexus kama zawadi na ukiachana na the fact kwamba hatujawahi ona akiendesha, leo hii tena tunasikia kamnunulia sijui v8.. Ina onyesha anamtumia mama yake kutafuta headline. Hamna cha zawadi wala nini
 
Wewe ni taahira?

Mbona huwa anaendesha V8 nyeupe kwenda nayo dukani kwa Esma kila siku
 
Back
Top Bottom