Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

simpatii picha babake diamondo now anajutaje huko aliko!! ila ipo siku mzee wa watu atasamehewa na huyu diamond maana kama diamond amefunga mwez mtukufu huu, bas amefunga bure sidhan kama mungu anahesabu mfungo wake.. SAMEHE MARA 70 as god says na yeye amekiuka 100%.. au mnaonaje wakuu? jamaa anafunga au anakaa njaa tu mwezi huu mtukufu?

#Team_Babaake_dimond

Binamu Dinazarde na geniveros Njooni muone uku Team baba Diamond imekuja juu, aiseeh na mimi nimo kwenye team , haiwezekani kabisa ndomo hamuaibishe na kumkana baba yake

Mashabiki roho inatuuma sana, kila siku unanunua mikufu ya mil 200 , Baba yako anaishi maisha ambayo siyo, mi Dinazarde kwa kweli nimejitolea ntaenda kumuoana baba ndomo ntampelekea na mchele na unga, huyu ndomo huyu tutaona mwisho, mi roho inaniuma sana.
 
Last edited by a moderator:

kitaeleweka tu why unamchukia babako na umefunga mwezi m2kufu? why? why?

#Dimond_We_are tired_Forgive_Our_Father_Now!!

#Team_babaake_Dimond
 
Last edited by a moderator:
Mbezi Beach ya Mbagala atanunua ila Mbezi Beach ya Beach kabisa kabisa hawezi nunua leo kesho na kesho kutwa. Ataishia tu kurusha picha za USA na mbwa, birthday car na etc.

Bora ye USA we hata Zambia umefika?
 
Bora ye USA we hata Zambia umefika?

Unanikumbusha enzi za utoto wangu, tulikuwa tunaringishiana hivyo hivyo umefika sehemu flani yani ukienda sehem unatangaz mtaa mzima, bas tu fujo, Utoto Nyie raha sometimes
 
Mwenyewe nashangaa wakishakuwa maarufu wanakana wazazi wao kama kanumba hata kama alikosa una msamehe ndo mana wengi wanafuliaga hawajui sababu

umeona eeh? hii ndio Team Babaake diamond kutoka INSTA hadi JF, had wapatane hawa ndugu.. itabid mzee abdul anunuliwe hata ki verossa nayeye ajivunie kuwa na mtoto hapa town!!
 
Binamu Dinazarde na geniveros Njooni muone uku Team baba Diamond imekuja juu, aiseeh na mimi nimo kwenye team , haiwezekani kabisa ndomo hamuaibishe na kumkana baba yake

Mashabiki roho inatuuma sana, kila siku unanunua mikufu ya mil 200 , Baba yako anaishi maisha ambayo siyo, mi Dinazarde kwa kweli nimejitolea ntaenda kumuoana baba ndomo ntampelekea na mchele na unga, huyu ndomo huyu tutaona mwisho, mi roho inaniuma sana.

hahahaaaaa...!binamu dai mtoto wa mama!
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh? hii ndio Team Babaake diamond kutoka INSTA hadi JF, had wapatane hawa ndugu.. itabid mzee abdul anunuliwe hata ki verossa nayeye ajivunie kuwa na mtoto hapa town!!

Mh ningekuwa mi ninge msamehe bure tena nimfate kama mzazi wangu domo naye ana roho ngumu wengne baba zao hata hawawajui lakini yeye anaye hata hamjali kwanini na yeye mamake asimwambie apatane bwana
 
Mh ningekuwa mi ninge msamehe bure tena nimfate kama mzazi wangu somo naye ana roho ngumu wengne baba zao hata hawawajui lakini yeye anaye hata hamjali kwanini na yeye mamake asimwambie apatane bwana

si afadhali na hiyo, mbaya zaid ni huu mwez mtukufu tu baaas!! yani kama jamaa anafunga bas asahau kupata thwawabu/anajidanganya kabisa..Mi ni shabiki wake mkubwa coz jamaa anajitahid katka kaz ila kwa hli mmh!! angerekebisha...

#Team_Babaake_Diamond
 
Domo huko hajafunga ng'ooooooooo
 
Binamu Dinazarde na geniveros Njooni muone uku Team baba Diamond imekuja juu, aiseeh na mimi nimo kwenye team , haiwezekani kabisa ndomo hamuaibishe na kumkana baba yake

Mashabiki roho inatuuma sana, kila siku unanunua mikufu ya mil 200 , Baba yako anaishi maisha ambayo siyo, mi Dinazarde kwa kweli nimejitolea ntaenda kumuoana baba ndomo ntampelekea na mchele na unga, huyu ndomo huyu tutaona mwisho, mi roho inaniuma sana.

Binamu mpelekeeee kwan hana chakula cha kufuturuuu auuu?????
 
Last edited by a moderator:
Nachelea kusema tena juu ya hili nisije nikaambiwa nina kale kakidonda ambako ukikashiriki unakonda (a.k.a WIVU).
Kwa ufupi tu naona madhara ya kukosa kazi na kutoelimika. Kila jambo unataka watu wajue na hapo sijui hata kama ni ukweli maana wadadavuzi waliotangulia, wanatoa changamoto (wana challenge) hata uhalisia wa jambo tajwa.

Hivi kumtuza mama yako (sizungumzii kumlipa maana hatuwezi kwa yote waliyotutendea) ni mpaka ualike watu? Na utangaze? Ikiwa hivyo mbona magazeti kurasa zingejaa maana kila siku kuna tendo la wema linatendeka kwa mzazi. Tendo la wema si lazima gari kwa maana kila mtu anajikuna pale anapofika, mradi linatoka kwa dhati. Hata ukimnunulia ndizi mshale mkungu kama ndio unachoweza, basi hapo unabarikiwa.

My Take:
Tupunguze shobo na vitu visivyo vya lazima.
Tupende kuitafuta elimu maana itatuhekimisha na kujua lipi la kunena na lipi silo; halikadhalika lipi la kutenda na lipi silo.
Tutafute kazi za kufanya ili kuishi kwetu duniani kuwe na tija na alama (legacy). Mchango wa maendeleo kwa taifa, huanza na mtu mmojammoja na kwa matendo au kazi kidogokidogo. Huu muda tunaopoteza kupiga mapicha ( yakiwemo ya uongo), kushona masare kwa matukio ya kipuuzi ( nikijaliwa muda na hekima nitakuja kulizungumzia hili la sare siku nyingine) na kufanya sherehe za ushobozi zinazoingiza gharama ambazo hatuwezi kuziziba wala kuzizalisha ni kuchimba njia ya kuelekea umaskinini (both wa mali na fikra)

Asanteni

Yaaaan wewe umejaza page nzima kwa kuandika upumbavu.kwani tukio lilikua kumpa mamake gari tu.!!???c ilikua function ya birthday!!ndo asialike watu???ivi we mzima kweli????mbna matar wa ulaya wanafanya parties na kuwazawadia wenza wao au wazazi wao vitu vya thamani.yaaan unajiona mjanja kumbe mbulula tu.mtaftie na mamako basi kisicho na changamoto..alaahhh.nyie ndo mnaombea dogo afilisike mumcheke badala ya kumuombea afanikiwe zaidi.wabongo roho mbaya na wivu wa kijinga vinasumbia sana
 
Mwenyewe nashangaa wakishakuwa maarufu wanakana wazazi wao kama kanumba hata kama alikosa una msamehe ndo mana wengi wanafuliaga hawajui sababu

Kati ya daimond na babake nani alimkana mwenzake??funga midole yako kutyp kama hujui unachokizungumzia
 
binamu mimi nasubili tu kufuru ya private jet, kwa kipato cha diamond kumnunulia mama yake gari sioni kufuru maana alishamnunulia gari marehemu gurumo fun cargo. mama yake anastahili zawadi hiyo, atakuwa anakwenda nalo wapi hilo gari?

bado diamond ana tatizo la kuwa na washauri uchwara bila shaka kuna mjanja kalamba commission yake kwenye ununuzi wa hilo gari, hapa nazidi kuona umuhimu wa shule. je mama yake anakabiashara chochote cha kumuingizia kipato hata diamond akifa ghafla mama mtu asitiye aibu kama mama yake kanumba?
Hiyo Milioni 38 si wangemalizia hiyo nyumba wakahamia,kweli kabisa Diamondo akifa leo,huyo mama atakwenda wapi?tumeyaona kwa Kanumba
 
Hiyo Milioni 38 si wangemalizia hiyo nyumba wakahamia,kweli kabisa Diamondo akifa leo,huyo mama atakwenda wapi?tumeyaona kwa Kanumba

Atauza ilo gari anunue na lingine atatembelea.kanumba hakuampa mamake chochote wala akiba yoyote ndo maana maza hana inshu nw.daimond mamake yuko juu
 
Atauza ilo gari anunue na lingine atatembelea.kanumba hakuampa mamake chochote wala akiba yoyote ndo maana maza hana inshu nw.daimond mamake yuko juu

hahahaaaaa!watu mna maneno!
 
Mimi nadhani ni matumizi mabaya ya fedha. Huu ni wakati ambao alitakiwa kukusanya pesa, awekeze ili atakapoporomoka kimuziki aendelee kufaidi. Waswahili hatufanyi hivyo lakini wahindi wanaweza
 
Kati ya daimond na babake nani alimkana mwenzake??funga midole yako kutyp kama hujui unachokizungumzia

Mbona umepanic sana wewe kwahyo ambavo hawapatani na mzazi wake ndo sifa na ndo mana atazidi kukosa tuzo na nyimbo zake hvo eti anafunga hata kama baba ake alimkosea yeye ni kioo cha jamii na we shabiki maandazi kweli kumbe uko empty kiasi hcho mxiuuuuuuuu
 
Mimi nadhani ni matumizi mabaya ya fedha. Huu ni wakati ambao alitakiwa kukusanya pesa, awekeze ili atakapoporomoka kimuziki aendelee kufaidi. Waswahili hatufanyi hivyo lakini wahindi wanaweza

We ulitaka amnunulie mamake bodaboda au kibajaji??yaan kumnunuliaa gari ni matumiz mabaya ya pesa???we utakua unatembela baiskeri akati bank unamilion 100!!!hebu peleka ubakhiri wako uko
 
Back
Top Bottom