warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Mbwa thamani ya verossa,gariii milion 38 ,hizo pesa si bora wamalizie nyumba zao waishii bila kupangaaa,hapo hamna kitu ni matopee tuuu
Wanatuchekesha tu apa, sasa mama sanura jamani na lexus wapi na wapi?? Mmh kweli ndomo anayeweza yule kijana
Ivi binamu unajua hiyo lexus ambayo inadaiwa ya mama ndomo inafanana na ya mama ubaya ile aliyomnunilia kaka clement? Yan mama ubaya atakuwa ana wivu yeye birthday yake kapewa saa tu na hata vits hajanunilia apa ndomo anawatafutia bifu tu mtu na mkwewe