mbiza
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 529
- 135
Hata mi siamini binamu toka wema atudanganye ile nyumba ni yakee siwaamini hata kidogoo
vipi kwani haikuwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi siamini binamu toka wema atudanganye ile nyumba ni yakee siwaamini hata kidogoo
Huyo nae anataka kutupandisha mashetani apa, hyo nyumba ambayo cha umbea warumi haijui ameijenga wapi? , maana sisi tunaijua ile nyumba anayojenga toka 2011 hadi leo kama kuna nyingine picha please kabla mashetani hayajanipanda apa.
Kuhusu nyumba,mbona alishamjengea mama yake cku nyingi jmn!kuwa na data kabla humjaongea jmn!
vipi kwani haikuwa?
Nyumba ip aliyomjengea? Iv inaingia akilin uwe na nyumba halaf upange ?? Ebu tuelezee vizur
Gossipcopwarumi,hahaha km hyo gari! Na km uwezo wako mdogo hata pipi! U think nimekosea?no nko right kabisaaaaaaa!wapeni na si kuwafanyia
Wee na hayumo kwenye hiyo nyumba tenaaa chezeaaaa
Sasa kufuru iko wapi hapo?Anyway,mi naona kama kachelewa nilidhani ashamnunulia
Mwenzangu kufur gari la mil 38, wakat hayo magar ni mil 25 , amnunulie wapi na wewe? We ukishaona uwepo wa babu tale na ndomo bas we jua hamna kitu apo, mi sina hamu walichomfanyia marehemu gurumo had leo kadi ya gari hajapata, yani gar atoe ndomo kadi akae nayo ruge, kweli wanatuweza
Kuna kipindi nilisikia ndomo anamjengea mama ubaya nyumba ya mil. 100, kipindi kile mama ubaya ndo katoka kuachana na clement, mara tukaambiwa na vifaa vitanunuliwa vipya kutoka china, jaman nilicheka binamu, nyie ndomo ana fix kiama
Hivi binamu mama ubaya yeye ameishanunuliwa mkoko?
Nasikia alinunuliwa saa bora amnunulie mama yake lakiniii
Hivi binamu mama ubaya yeye ameishanunuliwa mkoko?
Amnunulie kutoka wapi? Mbona tungekoma na hizo timu zao uko insta, hata bajaji hajamnunulia, wema nae anayaweza kuvumilia yote hayo, anachakazwa mtoto wa watu anakuja kudanganywa na perfume za USA
Kwa hiyo binamu sasa hivi hana mkoko wowote?Na mama ubaya anavyopenda sifa kwa ndomo atasubiri sana na inaonekana jamaa haongi vitu vikubwa zaidi ya hela za nguo