Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

kwenye ile bilioni moja kashatoa million 38 kwa ajili ya gari sasa iv kabakiza milion mia 9 na 62 amalizie tu lile gofu lake.....inatosha kabisa
 
Mi nna T.... CVZ ina miezi sasa hii kamvua mtu walah milion 15

Hiyo garii kaagiza toka japan ila aliifungia stoo mpka cku ifike,hiyo no ina mwaka sasa cmm dogo aache sifa amalize nyumba kwa kelele zote wanakaa nyumba y kupanga
 
Hata kama watu wana T...CRX yeye anamnunulia gari T...CMM huoni hapo kuna kamuchezo

Hiyo hela angenunua nyumba familia yke ikae c kubwelabwela huyu dogo hana hela anavyopenda sifa angenunua nyumba mbezi beach au mikocheni
 
Kwa hiyo binamu sasa hivi hana mkoko wowote?Na mama ubaya anavyopenda sifa kwa ndomo atasubiri sana na inaonekana jamaa haongi vitu vikubwa zaidi ya hela za nguo

Wema anatumia harrier lexus kama ya mama ndomo, hiyo lexus ya wema alinunuliwa na clement ,walivyoachana akampokonya magar yote, maana wema zaman alikuwa tajir wa magar, alikuwa na toyota mark x, audi q7 na hyo lexus ambayo aliachiwa, ndomo hajawahi mnunulia gar wema, clement kwa kuwa tu anajiweza na kipaji anacho, huon kajala sasa ivi alivyo na jeur ya pesa
 
Atamuomba huo mkoko mara moja moja mama mkwe.

Gari ya mama ndomo na wema zote ni harrier lexus, wote wanatumia gar zinazofanana ,tofaut ni rangi ,mama ubaya gar lake la pink ,mama ndomo silver
 
Mi nna T.... CVZ ina miezi sasa hii kamvua mtu walah milion 15

Wasanii wa Tanzania wanapenda sifa sana bora angeweka gari bila number plate, hata dala dala yetu ni T...CSX na ipo toka january.
 
Hiyo hela angenunua nyumba familia yke ikae c kubwelabwela huyu dogo hana hela anavyopenda sifa angenunua nyumba mbezi beach au mikocheni

Mbezi Beach ya Mbagala atanunua ila Mbezi Beach ya Beach kabisa kabisa hawezi nunua leo kesho na kesho kutwa. Ataishia tu kurusha picha za USA na mbwa, birthday car na etc.
 
Nyumba si anazo na nyingine inamaliziwa swimming pool mwacheni jamani si hela zake mbona tunampangia matumizi
 
binamu mimi nasubili tu kufuru ya private jet, kwa kipato cha diamond kumnunulia mama yake gari sioni kufuru maana alishamnunulia gari marehemu gurumo fun cargo. mama yake anastahili zawadi hiyo, atakuwa anakwenda nalo wapi hilo gari?

bado diamond ana tatizo la kuwa na washauri uchwara bila shaka kuna mjanja kalamba commission yake kwenye ununuzi wa hilo gari, hapa nazidi kuona umuhimu wa shule. je mama yake anakabiashara chochote cha kumuingizia kipato hata diamond akifa ghafla mama mtu asitiye aibu kama mama yake kanumba?

Mkuu Nime LIKE na kuongezea LIKE ya maneno pia :clap2:
 
Amnunulie kutoka wapi? Mbona tungekoma na hizo timu zao uko insta, hata bajaji hajamnunulia, wema nae anayaweza kuvumilia yote hayo, anachakazwa mtoto wa watu anakuja kudanganywa na perfume za USA

Achakazwe mara ngapi???
 
Kuna kipindi nilisikia ndomo anamjengea mama ubaya nyumba ya mil. 100, kipindi kile mama ubaya ndo katoka kuachana na clement, mara tukaambiwa na vifaa vitanunuliwa vipya kutoka china, jaman nilicheka binamu, nyie ndomo ana fix kiama

Ahahahahahahahahha mbavu zangu
 
Nilikua sijui kama Diamond ana mihela namna hiii!! Dah... Ni shiiidaaa! Leo nilikua duka moja Kariakoo mida ya mchana ( saa nane, tisa hivi) nikasikia Redio ya mjengoni iki muhoji Mama yake Diamond... Akasema ana miliki mkufu wenye thamani ya Tsh. 60,000,000/-, bracelet yenye thamani ya Tsh. 30,000,000/- na Hereni za Laki nne. Kwa hesabu za haraka hapo Jumla ni 94,400,000/- ( na sasa kapewa gari la 35,000,000/- ). Nakajiuliza maswali mengi sana hapo, bila kupata jibu la uhakika....mwisho nikajisemea tu kimoyo moyo.."muziki unalipa".
 
Back
Top Bottom