Ni kiki tu za kutaka kumuweka kwenye headlines, lakini hapo hakuna cha nyumba wa Dada yake na uwanja vilivyotolewaangelipa 5M za malezi za kijana wake... 100M + 80M=? angekuwa anafanya visiting tu kama mama mtoto...
Hapo diamond kafanya kumkomesha hamisa mobeto ila siyo kwamba hawezi kuitoa hiyo five M..angelipa 5M za malezi za kijana wake... 100M + 80M=? angekuwa anafanya visiting tu kama mama mtoto...
kaka hampendi huyo mwanamke hataki ale hela yake akikua mtoto atampa nyumba siku ya ndoa aishi na mkewe sio yule changu,mfano wewe umpe hamisa m5 unadhani itatumikaje kwa mtoto nyingi itatumika kuvaa nguo na kulipia bando insta kumsema kipenzi chake zarii to hellangelipa 5M za malezi za kijana wake... 100M + 80M=? angekuwa anafanya visiting tu kama mama mtoto...
Tuseme tu ukweli dimond ana wapenda sana vijana wake
Wcb wote wana maisha mazur
Dah basi kweli maana mpaka wewe mpinga kristo umekubali hili[emoji12]Tuseme tu ukweli dimond ana wapenda sana vijana wake
Wcb wote wana maisha mazur
Kiwanja Cha 80mil kwa mwaka huu wa Magu
Inategemea serekalini unafanya kazi ipikufanya kazi WCB unakula maisha kuliko kufanya kazi serikalini