Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

That's nice.

Ila asisahau Mobeto sijui Mboto anadai matunzo ya mtoto 4+m per month.
 
Hivi Rommy na Diamond udugu wao upoje..
habari wadau..

naona rais wa WCB mambo ya vyuma vimekaza yeye hayamuhusu.. maana hela anachukua kwa wateja wake waliopo dunia nzima...

zawadi ya harusi ya dj wake mr romy jones ni nyumbaaa....



mama diamond nae kujibu mapigo kamzawadia romy jones kiwanja cha thamani ya milioni 80...

a boy from tandale... anawapenda sana wafanyakazi wake
 
Back
Top Bottom