- Thread starter
- #21
Bashite kaahidi sh ngapi?
bashite kawalipia honey moon south africa kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite kaahidi sh ngapi?
Hahaaa mkuu mimi sio mpinga kristoDah basi kweli maana mpaka wewe mpinga kristo umekubali hili[emoji12]
Mkuu ze-dudu hebu weka nyama kidogo kwa comment yako what do you mean by "not to that extent"not to that extent
habari wadau..
naona rais wa WCB mambo ya vyuma vimekaza yeye hayamuhusu.. maana hela anachukua kwa wateja wake waliopo dunia nzima...
zawadi ya harusi ya dj wake mr romy jones ni nyumbaaa....
mama diamond nae kujibu mapigo kamzawadia romy jones kiwanja cha thamani ya milioni 80...
a boy from tandale... anawapenda sana wafanyakazi wake
Mama zao ni tumbo mojaHivi Rommy na Diamond udugu wao upoje..
Nimekuelewa sana hapa mkuu!Hizo ni kiki tu kwa sisi tunafahamu hayo mambo. Hapo hakuna cha nyumba wala uwanja ila hiyo inatumika kuwajenga wenzako ndugu. Zinduka!
Kwa msanii lolote linawezekanaNi kiki tu za kutaka kumuweka kwenye headlines, lakini hapo hakuna cha nyumba wa Dada yake na uwanja vilivyotolewa
mbona yule mkata viuno Iyobo bado anaishi nyumba ya kupanga MwananyamalaTuseme tu ukweli dimond ana wapenda sana vijana wake maisha mazur
hakuna kitu hapo..tra walimdai kodi..akapanua domo kulalama hadi kidaka tonge kikaonekanaKila kitu ni mipango, amejipanga kufanya hivyo. Sasa wale wa kujipitisha jipitisheni mtiwe na hamtajengewa ng'ooooo
Ni ujuaji au wivu?Hizo ni kiki tu kwa sisi tunafahamu hayo mambo. Hapo hakuna cha nyumba wala uwanja ila hiyo inatumika kuwajenga wenzako ndugu. Zinduka!