Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

That's nice.

Ila asisahau Mobeto sijui Mboto anadai matunzo ya mtoto 4+m per month.
 
Ila hii inaweza kuwa siyo kiki ni kwel sababu watakua wamejipanga pia ni ndugu yake huyo wamekua pamoja kumpa hyo 100 ya nyumba kwa dai mbona kawaida tu...
 
Hivi Rommy na Diamond udugu wao upoje..
 
Kila kitu ni mipango, amejipanga kufanya hivyo. Sasa wale wa kujipitisha jipitisheni mtiwe na hamtajengewa ng'ooooo
hakuna kitu hapo..tra walimdai kodi..akapanua domo kulalama hadi kidaka tonge kikaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…