Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

Hivi diamond lile gari linalomtoa udenda ashalinunua Tatizo la WCB wanapenda kiki kuzidi kitu chochote uwanja wa milioni 80 Hizo zote kiki ambazo hazina maana mtu alifariki ndo ukweli uanza kujalikana
 
Hao ni ndugu wa damu,tuone kama atafanya kwa Iyobo au Harmonize
 
kwa wanojua ubahili wa ndomo wanajua hii ni uongo sanasana labda kamruhusu kuikalia bureee bila kulipa ila sio eti kamkabidhi hadi hati..kwa nini pia watu hawajui ndomo hawezi muacha zari sababu atleast zari ana pesa zake sio wa kumpiga virungu na zari ni mpenda masifa na publicity ambaye kwa ndomo anaipata kirahisi,ndomo hapendi kuhonga jamani
Kuhusu Rommy jones kwanza nimestuka sana kuona kafunga ndoa ya kiislamu,jina lake halisi ni George bangula na hawana undugu wa damu na diamond,mama zao ni marafiki toka ujanani enzi za kudanga huko tandale ,kwa hiyo ni ule urafiki uliofikia kuwa undugu
 
Mmmmh. Ushahid wa george bangula uko wapi?

Romeo na George wapi na wapi?
 
Hizo ni kiki tu kwa sisi tunafahamu hayo mambo. Hapo hakuna cha nyumba wala uwanja ila hiyo inatumika kuwajenga wenzako ndugu. Zinduka!
How? mimi niliamini, sasa wewe unanifungua masikio.
 
Mkuu aliweka na hati ya nyumba hadharani watu wajionee?!

Maana hawa madale kwa kutafuta Kiki kinguvu ni kiboko
 
Hivi diamond lile gari linalomtoa udenda ashalinunua Tatizo la WCB wanapenda kiki kuzidi kitu chochote uwanja wa milioni 80 Hizo zote kiki ambazo hazina maana mtu alifariki ndo ukweli uanza kujalikana
Hata wakati anasema alimnunulia mobeto rav 4 mlikuja na mipovu hapa mpaka mobeto mwenyewe alivyokubali ndio mkatulia
 
Yasije yakawa Yale ya 'nampa papa' na nywele za milioni sita. Hawa wasanii wetu tunawafaham vizuri tu.
 
Hiyo ni kiki tu mama na mtoto wapi na wapi?
au mleta uzi tupia kapicha ka hiyo nyumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…