Kwahiyo bora niache kazi yangu ya ugavi nikawe dancer wcb??kufanya kazi WCB unakula maisha kuliko kufanya kazi serikalini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo bora niache kazi yangu ya ugavi nikawe dancer wcb??kufanya kazi WCB unakula maisha kuliko kufanya kazi serikalini
HahahaaaaaaKila kitu ni mipango, amejipanga kufanya hivyo. Sasa wale wa kujipitisha jipitisheni mtiwe na hamtajengewa ng'ooooo
5m kwa malezi huyo mtoto ni faru fausta,au anakula maziwa ya ngamia lita @8000angelipa 5M za malezi za kijana wake... 100M + 80M=? angekuwa anafanya visiting tu kama mama mtoto...
Mmmmh. Ushahid wa george bangula uko wapi?kwa wanojua ubahili wa ndomo wanajua hii ni uongo sanasana labda kamruhusu kuikalia bureee bila kulipa ila sio eti kamkabidhi hadi hati..kwa nini pia watu hawajui ndomo hawezi muacha zari sababu atleast zari ana pesa zake sio wa kumpiga virungu na zari ni mpenda masifa na publicity ambaye kwa ndomo anaipata kirahisi,ndomo hapendi kuhonga jamani
Kuhusu Rommy jones kwanza nimestuka sana kuona kafunga ndoa ya kiislamu,jina lake halisi ni George bangula na hawana undugu wa damu na diamond,mama zao ni marafiki toka ujanani enzi za kudanga huko tandale ,kwa hiyo ni ule urafiki uliofikia kuwa undugu
Kipaji hicho unacho?Kwahiyo bora niache kazi yangu ya ugavi nikawe dancer wcb??
How? mimi niliamini, sasa wewe unanifungua masikio.Hizo ni kiki tu kwa sisi tunafahamu hayo mambo. Hapo hakuna cha nyumba wala uwanja ila hiyo inatumika kuwajenga wenzako ndugu. Zinduka!
Hata wakati anasema alimnunulia mobeto rav 4 mlikuja na mipovu hapa mpaka mobeto mwenyewe alivyokubali ndio mkatuliaHivi diamond lile gari linalomtoa udenda ashalinunua Tatizo la WCB wanapenda kiki kuzidi kitu chochote uwanja wa milioni 80 Hizo zote kiki ambazo hazina maana mtu alifariki ndo ukweli uanza kujalikana

Hata wakati anasema alimnunulia mobeto rav 4 mlikuja na mipovu hapa mpaka mobeto mwenyewe alivyokubali ndio mkatulia
Kama hata bei ya rav4 new model hujui basi kaa kimyaRav4 shilingi ngapi wewe?
Ni jina feki wenyewe wanaita swagg,na wewe unammini anaitwa Rommy Jones?basi diamond haitwi naseebMmmmh. Ushahid wa george bangula uko wapi?
Romeo na George wapi na wapi?