Diamond amtupia mabegi nje Kim Nana, penzi lao lafika ukingoni.

Diamond amtupia mabegi nje Kim Nana, penzi lao lafika ukingoni.

Acha atimuliwe,kajina kenyewe hata haendan nako mfeeeeeeew
 
Kama huna picha bora upotee tu..
Umbeya bila picha ni uchawi
 
Punguzeni unafiki nyie wanaume wa mkoani maana threas ya wanaume wa Dar wewe unakua wa kwanza kufatilia na kutoa comment sasa ndo nini sasa unafiki ni hulka ya kike mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamtaki kuambiwa ukweli eti?

Na wewe huwezi kutafuna muwa mpaka ukamuliwe unywe juisi?
 
Back
Top Bottom