Diamond amuandalia mwanaye Tiffah birthday ya kukata na shoka itakayofanyika Mlimani City

Hana lolote pamoja Na matatizo ya baba yake alipaswa kumsamehe ufahari haukupeleki popote
 
Hana lolote pamoja Na matatizo ya baba yake alipaswa kumsamehe ufahari haukupeleki popote
Mbona hukumtetea mama yake na Diamond wakati wametelekezwa na baba yao, tena wakati huo baba yao alikua na pesa. Huyo baba yao amepanda chuki acha avune chuki. Na kupitia mateso anayopata huyo baba Diamond watu wengi wanajifunza madhara ya kutekeleza watoto, siku Diamond akimsamehe baba yake, wanawake wataendelea kudharaulika katika jamii itaonekana kama hata mwanamke akinyanyaswa vipi mtoto akikua atamtafuta baba yake.
 
Mtoto amekosa matunzo huyo. Ona hivyo vinywele vyake
Hivi kama kitu huna experience nacho kaa kimya tu..inaelekea unajua kabisa baadhi ya watoto wakizaliwa nywele zibaanzia kuota kwa juu ila umeamua tu kukashifu kwa chuki zako binafsi
HAYA TUAMBIE KWA MAISHA YALE YA BABAKE NI MATUNZO GANI ALOKOSA HADI NYWELE ZIMEOTA JUU TU??
 
Well - I'm sure your parents thought a roller rink party was fantastic. I know too many children that never get a birthday party. Be grateful and not put them down!
 
Chuki itasaidia nini? asingekuwa maarufu angemtafuta huyo baba popote alipo. hiyo ndo balaa ya kuzaa na mswahili. huyo mama ni uchoyo tu unamsumbua anaona akiacha mtoto awasiliane na babake baba atashika kila kitu na yeye atakosa.
Ndio maana anaendelea kumjaza chuki mtoto.
 
Hapana mkuu, watu tunafanya makosa kila siku na kurudia makosa kwa sababu hatujifunzi madhara ya hayo makosa, leo hii ikiwa kila anayetelekeza mtoto anasamehewa na mtoto na mama, tutakua na taifa la watoto waliotelekezwa, kwenye jamii tunazoishi tunaona mateso wanayopata wanawake baada ya kutelekezwa na waliowazalisha, unakuta mfanyakazi wa ndani anazalishwa na mtoto wa mwenye nyumba anamtelekeza kwa sababu sio hadhi yake. Kumbuka hata huyo mzee leo hii Diamond angekua masikini asingethubutu hata kumuomba msamaha, kinachompleka kwa diamond sio majuto ya alichowafanyia na mama yake, ila ni shida zake baada ya kutumia pesa zake kwa starehe. Mwache apate malipo yake, kila jambo hupangwa na Mungu, alipewa na Mungu amenyimwa na Mungu.
 


igweeeee mwambie atafute ule wimbo wa Qchief ulinizaa wewe ukanikataa sasa iweje leo unaona nafaa....huyo baba diamond ana watoto wengi tu akiwemo queen Doreen kwanini wasimsaidie amshupalie tu diamond ? ......diamond mnyooshe huyo mpuuzi mama yako ndo kila kitu kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…