Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaa wako apate nywele nzuri. Chuki mpk kwa watoto khaaaaaa nktMtoto amekosa matunzo huyo. Ona hivyo vinywele vyake
Kwa makosa aliojitakia mwenyweBaba mzazi anakufa njaa Tandale,...
Kwan nywele zinatokana na matunzo nadhan nywele n kitu asilia n usimseme mtoto mdogo hajui chochoteMtoto amekosa matunzo huyo. Ona hivyo vinywele vyake
Babake si yupo mwanza?Baba mzazi anakufa njaa Tandale,...
Huyu Diamond akija kufilisika ndiyo atakumbuka hizo hela anazochezea
Hivyo vinywele vya huyo mtoto vepeee.
Una kibarua kigumu kweli kwa huyo ndugu!Mtoto amekosa matunzo huyo. Ona hivyo vinywele vyake
Kisa?! Birthday part, au?! Hapo utakuta over 50% ya gharama zinagharamiwa na makampuni au show mzima inakuwa sponsored! Usisahau hata huyo Tiffa mwenyewe tayari ni ambassador wa Msasani Babyshop pamoja na NMB JuniorJamaa asipoangalia atafuata nyanyo za mzee wa takeu style.
Wewe umekutana nae wapiJamani wapunguze kumuedit huyu mtoto. Yani ukimuona live hiyo rangi ni tofauti kabisa na alivyoapo kwenye picha.
Mbona hukumtetea mama yake na Diamond wakati wametelekezwa na baba yao, tena wakati huo baba yao alikua na pesa. Huyo baba yao amepanda chuki acha avune chuki. Na kupitia mateso anayopata huyo baba Diamond watu wengi wanajifunza madhara ya kutekeleza watoto, siku Diamond akimsamehe baba yake, wanawake wataendelea kudharaulika katika jamii itaonekana kama hata mwanamke akinyanyaswa vipi mtoto akikua atamtafuta baba yake.Hana lolote pamoja Na matatizo ya baba yake alipaswa kumsamehe ufahari haukupeleki popote
Hivi kama kitu huna experience nacho kaa kimya tu..inaelekea unajua kabisa baadhi ya watoto wakizaliwa nywele zibaanzia kuota kwa juu ila umeamua tu kukashifu kwa chuki zako binafsiMtoto amekosa matunzo huyo. Ona hivyo vinywele vyake
Kuna mtu na mimi namsubiria afilisike lakini naona anazidi kuzeeka tu.Huyu Diamond akija kufilisika ndiyo atakumbuka hizo hela anazochezea
Huyu Diamond akija kufilisika ndiyo atakumbuka hizo hela anazochezea
Hivyo vinywele vya huyo mtoto vepeee.
We una Lako Jambo.. umeanza Kufilisika Now Umeamia Kwenye NyweleMtoto amekosa matunzo huyo. Ona hivyo vinywele vyake
Chuki itasaidia nini? asingekuwa maarufu angemtafuta huyo baba popote alipo. hiyo ndo balaa ya kuzaa na mswahili. huyo mama ni uchoyo tu unamsumbua anaona akiacha mtoto awasiliane na babake baba atashika kila kitu na yeye atakosa.Mbona hukumtetea mama yake na Diamond wakati wametelekezwa na baba yao, tena wakati huo baba yao alikua na pesa. Huyo baba yao amepanda chuki acha avune chuki. Na kupitia mateso anayopata huyo baba Diamond watu wengi wanajifunza madhara ya kutekeleza watoto, siku Diamond akimsamehe baba yake, wanawake wataendelea kudharaulika katika jamii itaonekana kama hata mwanamke akinyanyaswa vipi mtoto akikua atamtafuta baba yake.
Hapana mkuu, watu tunafanya makosa kila siku na kurudia makosa kwa sababu hatujifunzi madhara ya hayo makosa, leo hii ikiwa kila anayetelekeza mtoto anasamehewa na mtoto na mama, tutakua na taifa la watoto waliotelekezwa, kwenye jamii tunazoishi tunaona mateso wanayopata wanawake baada ya kutelekezwa na waliowazalisha, unakuta mfanyakazi wa ndani anazalishwa na mtoto wa mwenye nyumba anamtelekeza kwa sababu sio hadhi yake. Kumbuka hata huyo mzee leo hii Diamond angekua masikini asingethubutu hata kumuomba msamaha, kinachompleka kwa diamond sio majuto ya alichowafanyia na mama yake, ila ni shida zake baada ya kutumia pesa zake kwa starehe. Mwache apate malipo yake, kila jambo hupangwa na Mungu, alipewa na Mungu amenyimwa na Mungu.Chuki itasaidia nini? asingekuwa maarufu angemtafuta huyo baba popote alipo. hiyo ndo balaa ya kuzaa na mswahili. huyo mama ni uchoyo tu unamsumbua anaona akiacha mtoto awasiliane na babake baba atashika kila kitu na yeye atakosa.
Ndio maana anaendelea kumjaza chuki mtoto.
Hapana mkuu, watu tunafanya makosa kila siku na kurudia makosa kwa sababu hatujifunzi madhara ya hayo makosa, leo hii ikiwa kila anayetelekeza mtoto anasamehewa na mtoto na mama, tutakua na taifa la watoto waliotelekezwa, kwenye jamii tunazoishi tunaona mateso wanayopata wanawake baada ya kutelekezwa na waliowazalisha, unakuta mfanyakazi wa ndani anazalishwa na mtoto wa mwenye nyumba anamtelekeza kwa sababu sio hadhi yake. Kumbuka hata huyo mzee leo hii Diamond angekua masikini asingethubutu hata kumuomba msamaha, kinachompleka kwa diamond sio majuto ya alichowafanyia na mama yake, ila ni shida zake baada ya kutumia pesa zake kwa starehe. Mwache apate malipo yake, kila jambo hupangwa na Mungu, alipewa na Mungu amenyimwa na Mungu.