Diamond amuandalia mwanaye Tiffah birthday ya kukata na shoka itakayofanyika Mlimani City


Ishu ni kuwa kwanini hakumtunza Diamond kipindi anaitwa naseeb amemfata kumuomba ada ya shule matokeo yake Dogo anapotozewa hata hela ya pipi kijiti, hivi unahitaji kujazwa chuki kumchukia mtu kama huyu?

Kikubwa zaidi, diamond angekuwa mchinga unafikiri babayake angemtafuta? Kwasababu miaka yoote hiyo hakutambua makosa yake mpaka Naseeb amekuwa Diamond ndio akaanza kujisogeza, wakati kipindi hiko diamond mpiga picha na kuuza mitumba karume bado alikuwa hajatambua makosa yake

Ndio maana Diamond, akasema AMEMSAMEHE ila asitegemee treatment anayopata mama yake na yeye aipate..
 
Naked truth....
 
Unamuelimisha mtu asiyejua maana ya mtoto na wala hajui uchungu wa mtoto ....! Mkuu tunza nguvu zako!
 
Zaa wako apate nywele nzuri. Chuki mpk kwa watoto khaaaaaa nkt
Afadhali umesema mamy yaani binadamu bwana sijui tukoje,Mungu sio mjinga kumuumba hvyo alivyo, by the way huyo mtt mzur acheni mambo ya kukosoa
 
Mbona kama Huddah anatoa mwongozo wanataka ku cash in kwenye birthday ya mtoto wao!
 
Afadhali umesema mamy yaani binadamu bwana sijui tukoje,Mungu sio mjinga kumuumba hvyo alivyo, by the way huyo mtt mzur acheni mambo ya kukosoa
Huyo mtoto kwanza nasikia siyo wa Diamond. Jamaa kasingiziwa tu.
 
POINTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.Wanaume waache kutelekeza watoto huku wanakaa pembeni wakivizia, akifanikiwa wanakuja kwa MWENDOKASI hapo angeharibika au angekuwa hohehahe matusi yangeelekezwa kwa mama kuwa hakumtunza nk nk. Muacheni afaidi hela zake na watu anaowataka na aliopata nao shida huyo mzee aende kwa walokula hela yake kumbuka'MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO'
 
Hivi unajua dalili za Kwashakoo? Kwa taarifa yako nywele za huyo mtoto zina dalili ya Kwashakoo
 
Watu huwa hawajui madhara ya kumtelekeza mtoto na mama yake, mimi nimeona watu wanashindwa kuutunza utu wao kwa ajiri ya watoto wao, mtu anaamua kutembea na wanaume hovyohovyo ilimradi amsomeshe mtoto wake,ugomvi wa baba na mama watoto hauwahusu, watoto wao wanatakiwa wapate malezi bora.
 
Hivi unajua dalili za Kwashakoo? Kwa taarifa yako nywele za huyo mtoto zina dalili ya Kwashakoo
Huyo mtoto hana nywele nyingi n kwashiorkor haina dalili ya nywele kuwa ndogo bali nywele zinakuwa na rust colour na pia mtoto anakuwa hakui
 

Wengine sio kukataa watoto tu, bali kuanzia mimba anatelekeza kitu kinachochangia abortion na vifo vya watoaji mimba kwa kiasi kikubwa...
 
Kusamehe ni muhimu lkn asilazishwe yeye ndie anaejua shida alizopata na mama yake.Huyo baba angekua mtu wa kujirudi angerudi wkt kijana anasota leo anajianika kwenye TV kwa sbb kijana kapata.Wapo wanaume wanafanya haya hat leo inauma acha tu, mie namsapoti huyo mama na mwanae asilimia mia huyo baba hakujua alikua anaudhalilisha mgodi wa dhahabu.akubali kuisoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…