Diamond amuita Jokate "makombo"

Habari hii inamchafua Jokate zaidi kuliko hata Diamond. Huu ndo wakati wa makombo wote kujazana kutoa povu hapa. Makombo roho zinawauma sana maana inaingia ndani ya hisia zao. Ni makombo tu, narudia kama mke au mume umetumika kabla wewe ni makombo tu.

Nashauri unapochangia utoe status yako kuwa wewe ni makombo au la kisha jenga hoja. Ukikaa kimya maana yake ni makombo,tutatathmini hoja yako kwa mtindo wa makombo.
 

Kibao😕😕
 
naona elimu haijamsaidia huu mgegedo idadi inatisha
 

Ya kwako ikoje hujawah kutumika hapo kabla?!?
 
mmh huyo zarinah mbona mzuri sana kitu imetoa watoto watatu bado anavutia so mchezoooo
 
My Jokate.... nilidhani nina kibamia!
 
Huyu naye achunge kauli zake si kila kitu kinahutaj kujibiwa.
 
Nimecheki thread zako mbili tatu naona unatafuta ugonvi na jamii inayokuzunguka? anyway kwa kifupi makombo ndo utamaduni wetu.
 

Wewe ni he au she?
 
"K" yenye makombo ni ipi?
Ya Jokate ambayo haijawahi kupita mtoto hata mmoja au ya Zari waliopitia watoto watatu hapo?
 
My rule no 1,huwa siachani na mademu zangu, tutakaa mbali, tutavungiana, lakini Tutakuwa in good terms, ipo siku tukikutana tutakumbushiana na kupiga mechi ya kirafiki. Rule number 2,huwa simtangazi ubaya wowote kwa watu au madhaifu yake, au kuwaongelea in a negative way. Rule no 3,i respect them. Kwahiyo in no way hatuwezi kuja kuingia kwenye malumbano, they have fond memories of me. Namshangaa dogo na mademu zake, sijui wanaona wivu au aliwaacha kwa madharau. Haipendezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…