Diamond amuita Jokate "makombo"

Diamond amuita Jokate "makombo"

Habari hii inamchafua Jokate zaidi kuliko hata Diamond. Huu ndo wakati wa makombo wote kujazana kutoa povu hapa. Makombo roho zinawauma sana maana inaingia ndani ya hisia zao. Ni makombo tu, narudia kama mke au mume umetumika kabla wewe ni makombo tu.

Nashauri unapochangia utoe status yako kuwa wewe ni makombo au la kisha jenga hoja. Ukikaa kimya maana yake ni makombo,tutatathmini hoja yako kwa mtindo wa makombo.
 
Hahahahaha umenichekesha huyo kibao mwenyewe si wa mchikichini kule bondeni hivi ushawahi kufika kule ni kama huko tandale so iyo statement I apply kwa huyo kibao
Facts: nilikua fan kipenzi wa kibao but nimemshusha sana kuona kwa hawezi kurudi bila kujenga bifu na dai

Na kama kweli yeye ni mfalme basi atoke kimataifa aache kuwa "too local"

Kibao😕😕
 
naona elimu haijamsaidia huu mgegedo idadi inatisha
 
Habari hii inamchafua Jokate zaidi kuliko hata Diamond. Huu ndo wakati wa makombo wote kujazana kutoa povu hapa. Makombo roho zinawauma sana maana inaingia ndani ya hisia zao. Ni makombo tu, narudia kama mke au mume umetumika kabla wewe ni makombo tu.

Nashauri unapochangia utoe status yako kuwa wewe ni makombo au la kisha jenga hoja. Ukikaa kimya maana yake ni makombo,tutatathmini hoja yako kwa mtindo wa makombo.

Ya kwako ikoje hujawah kutumika hapo kabla?!?
 
Habari hii inamchafua Jokate zaidi kuliko hata Diamond. Huu ndo wakati wa makombo wote kujazana kutoa povu hapa. Makombo roho zinawauma sana maana inaingia ndani ya hisia zao. Ni makombo tu, narudia kama mke au mume umetumika kabla wewe ni makombo tu.

Nashauri unapochangia utoe status yako kuwa wewe ni makombo au la kisha jenga hoja. Ukikaa kimya maana yake ni makombo,tutatathmini hoja yako kwa mtindo wa makombo.
Nimecheki thread zako mbili tatu naona unatafuta ugonvi na jamii inayokuzunguka? anyway kwa kifupi makombo ndo utamaduni wetu.
 
Mwenye magazeti ana chuki na Chibu na alijitahidi kumshusha akashindwa. Kuweni makini, anachotaka kufanya ni kutengeneza chuki kati ya Chibu na wanawake. Ndoa zetu siku hizi ni used, kina dada wana date tangu primary hadi chuo kikuu na kina kaka wanaanza Sekondari hadi chuo kikuu.

Wote tunakutana used, makombo ya watu wengine kwa muktadha huo. Lakini tunafumba macho, sitaki hata kujua nani alichapa kabla yangu, mimi nafurahia watoto tu ninaozaa basi. Sote used, used ni makombo ya wengine.

Wewe ni he au she?
 
"K" yenye makombo ni ipi?
Ya Jokate ambayo haijawahi kupita mtoto hata mmoja au ya Zari waliopitia watoto watatu hapo?
 
My rule no 1,huwa siachani na mademu zangu, tutakaa mbali, tutavungiana, lakini Tutakuwa in good terms, ipo siku tukikutana tutakumbushiana na kupiga mechi ya kirafiki. Rule number 2,huwa simtangazi ubaya wowote kwa watu au madhaifu yake, au kuwaongelea in a negative way. Rule no 3,i respect them. Kwahiyo in no way hatuwezi kuja kuingia kwenye malumbano, they have fond memories of me. Namshangaa dogo na mademu zake, sijui wanaona wivu au aliwaacha kwa madharau. Haipendezi
 
Back
Top Bottom