Tuachieni sisi,kila shetani na mbuyu wake
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ngoma droo Jakate nae alishamsema mondi kua hana akili hyo inaitwa ukimwaga ugal namwaga mboga big up kwa mondi na jojo.
Ngoma droo Jakate nae alishamsema mondi kua hana akili hyo inaitwa ukimwaga ugal namwaga mboga big up kwa mondi na jojo.
Kwani alikosea?
Sasa anaueaibika ni nani hapo aloambiwa hana akili au aliyeambiwa ni makombo... huoni hiyo inamwaribia hata kwa mpenzi wake wasasa...
JOKATE ni makombo ndiyoooooo kwani uongo???bora hata Zari alibahatika ndoa kuliko huyo jojo!wanaume hawakai na uzuri wote ule??????????
Mwenye magazeti ana chuki na Chibu na alijitahidi kumshusha akashindwa. Kuweni makini, anachotaka kufanya ni kutengeneza chuki kati ya Chibu na wanawake. Ndoa zetu siku hizi ni used, kina dada wana date tangu primary hadi chuo kikuu na kina kaka wanaanza Sekondari hadi chuo kikuu.
Wote tunakutana used, makombo ya watu wengine kwa muktadha huo. Lakini tunafumba macho, sitaki hata kujua nani alichapa kabla yangu, mimi nafurahia watoto tu ninaozaa basi. Sote used, used ni makombo ya wengine.
Huyo anakosea kusema makombo hakuna mwanamke makombo mshamba huyo
Si wameamua kujiaibisha wacha waaibishane.
Ngoma droo Jakate nae alishamsema mondi kua hana akili hyo inaitwa ukimwaga ugal namwaga mboga big up kwa mondi na jojo.
kwani nimekunyang'anyeni?
DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo.
Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu Madam wanamuunga mkono Ali Kiba.
Pamoja na kudaiwa kuwa Jokate ana uhusiano wa kimalovee na Ali Kiba na mwenyewe kutokubali, ameungana na Wema kuendesha kampeni ya nguvu kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu wampigie kura Kiba kwenye Tuzo za Kili 2015 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kampeni ya kuuangusha ufalme wa Diamond kimuziki.
Baada ya mwanahabari wetu kuujua mchezo huo uliopamba moto kama moto wa kifuu mitandaoni ndipo alipomuuliza Diamond anauzungumziaje ambapo kwanza alikiri kuufahamu na kudai ameudharau maana hauna jipya.
Hamna jipya waache waendelee kumpigia kampeni (Kiba) lakini mimi nafanya muziki wangu, mashabiki wanafahamu. Kwa hao watoto wa kike, hakuna kipya kwangu si kimuziki hata maisha yao binafsi.
Wema namjua vizuri, Jokate ndiyo usiseme. Mwache huyo Kiba aendelee kula makombo kwa Jokate kama ameamua kipita njia nilizopita si mbaya, inaruhusiwa, alisema Diamond.
Jitihada za kumpata Jokate ili aweze kufunguka kuwa anajisikiaje kuitwa makombo na Diamond hazikuzaa matuda kufuatia simu yake kuita bila kupokewa, jitihada zinaendelea.
Chanzo: GPL
My Take:
Huku ni kudhalilishana kwa sababu wasanii wa kibongo kuchukuliana ndio fashien. Naye anayemtumia mke wa mtu hali makombo? Ifike hatua nao hawa wasanii wa mwaka 2006 waolewe wawapishe vijana wapya enzi zoo zimeisha wasije kukutwa na ndala wakati wa kuolewa.
JOKATE ni makombo ndiyoooooo kwani uongo???bora hata Zari alibahatika ndoa kuliko huyo jojo!wanaume hawakai na uzuri wote ule??????????
Vichwa vitatu vimepita ukeni plus ivan, farouk, katunzi, lile babu la nigeria, mimi Danny greeny na wengine total ni kama kumi na tatu hivi plus NDOMO KAMA CHOGO LA UFUDU, yaani heri ya jokate makombo hilo li Zwari ni KIPORO KABISA
ahahahahahaaaaaaaaa!usiniambie na wewe tayari umepita kwa msupuu Zarinah???hongera sana aisee maana yule demu bado kei yake iko taiti utafikiri hajazaa!!ndio maana Ivan mpaka leo roho inamuuma sana akiifikiria!
Halafu Diamond hapendagi marambo ndio maana kwa JOJO Alipita fasta kama mwizi!kadhalika kwa Avril nae rambo duh!
Ya wema kidogo ilimfurahisha ila jokate duh!!
Ukitaka kujua ya Zwari saizi gani Panua mdomo wa NDOMO Hadi Mwisho. kama hivi :becky: hapo ndiyo utajua kama Rambo au kibakuli