Diamond amuita Jokate "makombo"

Diamond amuita Jokate "makombo"

Ngoma droo Jakate nae alishamsema mondi kua hana akili hyo inaitwa ukimwaga ugal namwaga mboga big up kwa mondi na jojo.
 
Ngoma droo Jakate nae alishamsema mondi kua hana akili hyo inaitwa ukimwaga ugal namwaga mboga big up kwa mondi na jojo.

Sasa anaueaibika ni nani hapo aloambiwa hana akili au aliyeambiwa ni makombo... huoni hiyo inamwaribia hata kwa mpenzi wake wasasa...
 
Jamani huyu domondi ananiboa sana sikuizi. Yaani sijui ni ulimbukeni gani alionao .
Amekua mzuri kunyooshea wengine vidole. YY MWENYEWE MAKOMBO ALIKOINGIA MAKOMBO AU ZARI ALIKUA BIKRA??? Tufike mahali tuheshimiane wanadamu sio diamond tu na wote. Hakuna mwenye haki ya kumuukumu Jokate au yyte kwa sbb hukumuumba ww ili useme hukutegemea aliemuumba km anajua alichokifanya na hajazungumza ww ni nani???. Kila mtu ana mapungufu yake ila tusiwe wepesi kunyooshea wengine jifunze kujitazama ww kwanza kabla hujamsema mwenzio.
 
JOKATE ni makombo ndiyoooooo kwani uongo???bora hata Zari alibahatika ndoa kuliko huyo jojo!wanaume hawakai na uzuri wote ule??????????
 
JOKATE ni makombo ndiyoooooo kwani uongo???bora hata Zari alibahatika ndoa kuliko huyo jojo!wanaume hawakai na uzuri wote ule??????????

kwahio zari ndo anakaa na wanaume?? ivan, farouk, katunzi na msululu huo wote?? au humjui nini zari??hilo sio rambo ni ziwa victoria kabisa.... daimond anajidanganya makombo ndo yy anaekula haswa., hajawahi kula fresh ni mdandia makombo kwa kwenda mbele na vijisenti vyake .
 
Mwenye magazeti ana chuki na Chibu na alijitahidi kumshusha akashindwa. Kuweni makini, anachotaka kufanya ni kutengeneza chuki kati ya Chibu na wanawake. Ndoa zetu siku hizi ni used, kina dada wana date tangu primary hadi chuo kikuu na kina kaka wanaanza Sekondari hadi chuo kikuu.

Wote tunakutana used, makombo ya watu wengine kwa muktadha huo. Lakini tunafumba macho, sitaki hata kujua nani alichapa kabla yangu, mimi nafurahia watoto tu ninaozaa basi. Sote used, used ni makombo ya wengine.

Unastahili PhD ya evaluation ya mahusiano, big up
 
Si wameamua kujiaibisha wacha waaibishane.

Hapo anayeshushiwa heshima kwakiwango kikubwa ni mwanamke,kwa akili ya kawida kama huyo dada anamwanaume ataendelea kumheshimu kwa kiwango kilekile kweli......? Hapanaaaa.... kupitia huyo Kidoti wanawake wengine wajifunze kutodetideti na wanaume hovyohovyo....
 
Ngoma droo Jakate nae alishamsema mondi kua hana akili hyo inaitwa ukimwaga ugal namwaga mboga big up kwa mondi na jojo.

Akili ya Diamond ni kubwa sana, let's be fair, recognition inatosha kumpa kiwango hicho, huyo mdada yeye akili yake ipo corner gani
 
DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo.

Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu ‘Madam’ wanamuunga mkono Ali Kiba.

Pamoja na kudaiwa kuwa Jokate ana uhusiano wa ‘kimalovee’ na Ali Kiba na mwenyewe kutokubali, ameungana na Wema kuendesha kampeni ya nguvu kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu wampigie kura Kiba kwenye Tuzo za Kili 2015 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kampeni ya kuuangusha ufalme wa Diamond kimuziki.

Baada ya mwanahabari wetu kuujua ‘mchezo huo’ uliopamba moto kama moto wa kifuu mitandaoni ndipo alipomuuliza Diamond anauzungumziaje ambapo kwanza alikiri kuufahamu na kudai ameudharau maana hauna jipya.

“Hamna jipya waache waendelee kumpigia kampeni (Kiba) lakini mimi nafanya muziki wangu, mashabiki wanafahamu. Kwa hao watoto wa kike, hakuna kipya kwangu si kimuziki hata maisha yao binafsi.

“Wema namjua vizuri, Jokate ndiyo usiseme. Mwache huyo Kiba aendelee kula makombo kwa Jokate kama ameamua kipita njia nilizopita si mbaya, inaruhusiwa,” alisema Diamond.

Jitihada za kumpata Jokate ili aweze kufunguka kuwa anajisikiaje kuitwa makombo na Diamond hazikuzaa matuda kufuatia simu yake kuita bila kupokewa, jitihada zinaendelea.

Chanzo: GPL

My Take:
Huku ni kudhalilishana kwa sababu wasanii wa kibongo kuchukuliana ndio fashien. Naye anayemtumia mke wa mtu hali makombo? Ifike hatua nao hawa wasanii wa mwaka 2006 waolewe wawapishe vijana wapya enzi zoo zimeisha wasije kukutwa na ndala wakati wa kuolewa.

Ni mwanaume Mshamba tu anaweza kuita mwanamke Makombo ....Huo Ni udhalilishaji ...kwani ma'am Yake alikua makombo kwa wangapi badi akamzaa yeye ? Tuwe fair ...
Wazee wanna msemo ......Haina makombo ......!!!! Kila Siku inakua mpya kwa Yule aliyeipata wakati Huo
 
JOKATE ni makombo ndiyoooooo kwani uongo???bora hata Zari alibahatika ndoa kuliko huyo jojo!wanaume hawakai na uzuri wote ule??????????

Vichwa vitatu vimepita ukeni plus ivan, farouk, katunzi, lile babu la nigeria, mimi Danny greeny na wengine total ni kama kumi na tatu hivi plus NDOMO KAMA CHOGO LA UFUDU, yaani heri ya jokate makombo hilo li Zwari ni KIPORO KABISA
 
Last edited by a moderator:

ahahahahahaaaaaaaaa!usiniambie na wewe tayari umepita kwa msupuu Zarinah???hongera sana aisee maana yule demu bado kei yake iko taiti utafikiri hajazaa!!ndio maana Ivan mpaka leo roho inamuuma sana akiifikiria!

Halafu Diamond hapendagi marambo ndio maana kwa JOJO Alipita fasta kama mwizi!kadhalika kwa Avril nae rambo duh!

Ya wema kidogo ilimfurahisha ila jokate duh!!
 
Ukitaka kujua ya Zwari saizi gani Panua mdomo wa NDOMO Hadi Mwisho. kama hivi :becky: hapo ndiyo utajua kama Rambo au kibakuli
 
Back
Top Bottom