Huyo anakosea kusema makombo hakuna mwanamke makombo mshamba huyo
nampenda jokate.ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na kiba kila la heri,.
Kama kweli d kasema ivo sishangai.
'you can take a man out of tandale, but u cant take tandale out of him'.
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.
Macho huoni basi hata kusikia husikii???huyo ni mama wa watoto watatu ,hayo ni makombo tosha...kingine huko uganda hukujui wewe tuulize sie.ukimtongoza mwanamke wa kiganda akikutalia nenda kaoge maji ya maiti uondoe gundu maana waganda sio maharage ya mbeya bali ni maharage ya kopo(baked beans) yashaiva tayari wewe ni kupasha moto na kula tu....haaahaahaaWe unamjua Zari au unajishaua tu hapa?we umewahi kum..f..uy.cky.zari au mbwembwe tu!?vijisent wewe unavyo alivyonavyo domo!??
Macho huoni basi hata kusikia husikii???huyo ni mama wa watoto watatu ,hayo ni makombo tosha...kingine huko uganda hukujui wewe tuulize sie.ukimtongoza mwanamke wa kiganda akikutalia nenda kaoge maji ya maiti uondoe gundu maana waganda sio maharage ya mbeya bali ni maharage ya kopo(baked beans) yashaiva tayari wewe ni kupasha moto na kula tu....haaahaahaa
Diamond hawezi ongea maneno kama hayo. Global wezi tu ndo mana sisomagi magazeti hayo ya watu wasiojielewa
mambo mkuu huyu mond anatafuta umaarufu kwa kiba
Hivi na jojo makombo alitoa mimba ya domoDah hivi Jokate asingeuwa mtoto wa diamond si angeitwa mama
Ndio mkuu ametoa mimba ya Mondi ,hicho kitoto chakike hakitaki kuzaaaHivi na jojo makombo alitoa mimba ya domo
Wewe unadate wazee? HaaahaaaaaKwani jokate ana mdate kiba? Makombo huyajua makombo mengine mbona yeye anatembea na cougar uswahili bana Jokate nilikua namheshimu ila baada ya kumdate nikamuona hamnazo. Hasara za kudate mvulana lazima atangaze kila kitu.